Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
"Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru benchi la ufundi. Hivyo itakuwa ni πππππππ πππ
Kwenye πππππππ πππ itakapofika πππ€π’π€π π²π ππ, wana Yanga wote tunapaswa kusimama kumpigia makofi πππ¦π¨π§ππ’ na benchi lake la ufundi kwa dakika moja. Tunampa heshima πππ¦π¨π§ππ’ kwa kutupatia ubingwa wa kishitoria mara ya 30" @alikamwe