Yanga imekuja na Gamondi day mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji mei 22

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
"Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru benchi la ufundi. Hivyo itakuwa ni π†π€πŒπŽππƒπˆ πƒπ€π˜

Kwenye π†π€πŒπŽππƒπˆ πƒπ€π˜ itakapofika 𝐝𝐚𝐀𝐒𝐀𝐚 𝐲𝐚 πŸ‘πŸŽ, wana Yanga wote tunapaswa kusimama kumpigia makofi π†πšπ¦π¨π§ππ’ na benchi lake la ufundi kwa dakika moja. Tunampa heshima π†πšπ¦π¨π§ππ’ kwa kutupatia ubingwa wa kishitoria mara ya 30" @alikamwe
 
ni ubunifu wa hali ya juu sana
 
Good thinking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…