Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mantiki hii uchawi wa Yanga ni mkubwa kuliko Simba.Usasa ndio unao isaidia Yanga kuifunga Simba Kila wakati.
Yanga imewekeza katika kujua ubora na udhaifu wa Simba, Simba uwanjani hawana timu ya kushindana na Yanga kwa Sasa.
Simba wamebaki na eneo Moja ambalo Bado Wana Nguvu ni kwenye ushirikina, Ndio maana Timu nyingi za nje zinapokuja bongo zinapata taabu na kushangaa kufungwa na Simba dhaifu.
Timu za nje zinaelewa zinafanyiwa ushirikina na Simba na zimekuwa zikipeleka malalamiko mengi ila CAF wanakosa ushahidi mpaka walipo wakamata kule South na kuwatandika fain ya Dola 23,000/=
Apa Bongo Yanga imewekeza vya kutosha kufahamu Simba uwa Wana Fanya Nini kabla ya mechi dhidi Yao nje na kwenye jengo la uwanja.
Kuna vitu vya ajabu Sana vinafanyika na kwa heshima ya mpira na wahusika ambao baadhi ni viongozi wa timu ya Simba siwezi kuweka video zao humu.
Usione Yanga anaitandika Simba atakavyo ni uwekezaji mkubwa na WA maeneo mengi ikiwemo uta alamu wa kufahamu yote afanyayo mtani kabla ya mechi.
Wanamfurahisha Mikia FC wachawi Makolo FC.Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC
Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union) wote masuala yao yamepelekwa kwenye kamati ya Waamuzi kwa ajili ya kufanyiwa uchgunguzi yakinifu kabla ya kutolewa kwa maamuzi.
View attachment 3140892View attachment 3140895View attachment 3140896View attachment 3140897
Pia, Soma:
• Matukio 4 bora dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC
• Wazee wa Simba kuanika majina ya Mawaziri waliohujumu Dabi ya Kariakoo
Yanga ni michawi....bila malango wa nyuma hawatoboi ni Kama mwiko nyuma...
Nimeenda kumuandikia ujumbe walace karia kwamba waongeze hii faini ya milioni 10 waweke milioni 50 mamaeh..haalaf tuoneHizi faini ndogo waweke hata milioni 50 tuone Kama huu upuuzi utaendelea..
Dawa ya hili ni kukatwa alama, hela hata iwe mil. 50 watalipa tu ila hawa alama ukipoteza lazima uzihangaikie kwenye mechi nyingine huku ukiomba mwenzako nae apoyezeNimeenda kumuandikia ujumbe walace karia kwamba waongeze hii faini ya milioni 10 waweke milioni 50 mamaeh..haalaf tuone
Timu inanua wachezaji bei ghali bado inaamini nguvu za giza karne ya 21 aibu yao manara alisema yanga wenye akili ni wawili tu!Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC
Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union) wote masuala yao yamepelekwa kwenye kamati ya Waamuzi kwa ajili ya kufanyiwa uchgunguzi yakinifu kabla ya kutolewa kwa maamuzi.
View attachment 3140892View attachment 3140895View attachment 3140896View attachment 3140897
Pia, Soma:
• Matukio 4 bora dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC
• Wazee wa Simba kuanika majina ya Mawaziri waliohujumu Dabi ya Kariakoo
Hueleweki point yako ya msingi ni ipi?maana unasema yanga wamefanya uwekezaji mkubwa hapo hapo Tena unasema,yanga wanajua mbinu wanazotumia simba mbinu gani,zaidi ya ushirikina kwanini Kwanza upitie geti ambalo syo sahihi,Usasa ndio unao isaidia Yanga kuifunga Simba Kila wakati.
Yanga imewekeza katika kujua ubora na udhaifu wa Simba, Simba uwanjani hawana timu ya kushindana na Yanga kwa Sasa.
Simba wamebaki na eneo Moja ambalo Bado Wana Nguvu ni kwenye ushirikina, Ndio maana Timu nyingi za nje zinapokuja bongo zinapata taabu na kushangaa kufungwa na Simba dhaifu.
Timu za nje zinaelewa zinafanyiwa ushirikina na Simba na zimekuwa zikipeleka malalamiko mengi ila CAF wanakosa ushahidi mpaka walipo wakamata kule South na kuwatandika fain ya Dola 23,000/=
Apa Bongo Yanga imewekeza vya kutosha kufahamu Simba uwa Wana Fanya Nini kabla ya mechi dhidi Yao nje na kwenye jengo la uwanja.
Kuna vitu vya ajabu Sana vinafanyika na kwa heshima ya mpira na wahusika ambao baadhi ni viongozi wa timu ya Simba siwezi kuweka video zao humu.
Usione Yanga anaitandika Simba atakavyo ni uwekezaji mkubwa na WA maeneo mengi ikiwemo uta alamu wa kufahamu yote afanyayo mtani kabla ya mechi.
Fine wanazopigwa yanga na TFF tokea Hersi aingie madarakan zinawezafika billions, ni wakati sasa takukuru wafuatilie matumizi ya hizi fineKlabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC
Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union) wote masuala yao yamepelekwa kwenye kamati ya Waamuzi kwa ajili ya kufanyiwa uchgunguzi yakinifu kabla ya kutolewa kwa maamuzi.
View attachment 3140892View attachment 3140895View attachment 3140896View attachment 3140897
Pia, Soma:
• Matukio 4 bora dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC
• Wazee wa Simba kuanika majina ya Mawaziri waliohujumu Dabi ya Kariakoo
Uwekezaji mkubwa ni pamoja na kuwekeza kwenye maarifa ya kutambua mbinu zote wanazotumia wapinzani wako kukushinda.Hueleweki point yako ya msingi ni ipi?maana unasema yanga wamefanya uwekezaji mkubwa hapo hapo Tena unasema,yanga wanajua mbinu wanazotumia simba mbinu gani,zaidi ya ushirikina kwanini Kwanza upitie geti ambalo syo sahihi,
Aiseeeee wenzetu Makolo FC Mikia FC wachawi sana hawa jamaa.
Una akili sana mkuuUwekezaji mkubwa ni pamoja na kuwekeza kwenye maarifa ya kutambua mbinu zote wanazotumia wapinzani wako kukushinda.
Ndio maana Sasa tunapiga hesabu za Ubingwa wa Afrika kwakua tumesha elewa ili uwe Bingwa wa Afrika unatakiwa ujipaange vipi ukiachana na kikosi imara Cha wachezaji.
Muhimu point 3 tuKlabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC
Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union) wote masuala yao yamepelekwa kwenye kamati ya Waamuzi kwa ajili ya kufanyiwa uchgunguzi yakinifu kabla ya kutolewa kwa maamuzi.
View attachment 3140892View attachment 3140895View attachment 3140896View attachment 3140897
Pia, Soma:
• Matukio 4 bora dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC
• Wazee wa Simba kuanika majina ya Mawaziri waliohujumu Dabi ya Kariakoo
Mwamuzi wa Ile mechi ya Simba Vs Dodoma Jiji ajaletwa kwenye kamati,maana hata jana ni kidogo tu agawe penaltyKlabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC