Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

Faini iwe kubwa zaidi kudhibiti hiyo hali ..walau 50million
 
Uchawi wa kutega milangoni huwezi wapata Yanga.
Tusisahau Simba ndio klabu inayo tambulika na CAF kwa mambo ya kishirikina kwa kiwango Cha lami.

Kule South Afrika wali itia Nchi fedheha kwa kuwasha moto wa kishirikina katikati ya uwanja ugenini na Bado waka kandwa na Orlando Pirates.

Kwa hapa bongo kwa misimu kumi mfululizo katika matukio tofauti Simba imekua ikiadhibiwa kwa kujihusisha na vitendo vya kishirikina.

Bahati mbaya kwa Simba Yanga inafahamu mitego Yao yote ya kichawi katika milango ya kuingilia uwanjani na uweza kuikwepa kwa kutopita maeneo husika na kwenda kuwa Kanda uwanjani.
Kwel aliyewaita utopolo alitafakari mbali sana
 
Back
Top Bottom