Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

Kwa mantiki hii uchawi wa Yanga ni mkubwa kuliko Simba.

Ili ujue vitendo vya kishirikina na kuvitegua maana yake lazima wewe uwe bingwa wa ushirikina kumzidi anayekuroga.
 
Sasa kama timu yenyewe niya MALOFA ,unategemea iendeshe mambo kisasa?
 
Wanamfurahisha Mikia FC wachawi Makolo FC.
 
Nimeenda kumuandikia ujumbe walace karia kwamba waongeze hii faini ya milioni 10 waweke milioni 50 mamaeh..haalaf tuone
Dawa ya hili ni kukatwa alama, hela hata iwe mil. 50 watalipa tu ila hawa alama ukipoteza lazima uzihangaikie kwenye mechi nyingine huku ukiomba mwenzako nae apoyeze
 
Timu inanua wachezaji bei ghali bado inaamini nguvu za giza karne ya 21 aibu yao manara alisema yanga wenye akili ni wawili tu!
 
Nitafutie mwaka katika hii miaka kumi iliyopita Simba ilifanikiwa kuimaliza msimu bila kukutana na Rungu la Tff kutokana na kushiriki katika ushirikina.
Inacho Fanya Yanga ni kupita njia tofauti na Ile ambayo Simba imefanya ushirikina wao.
 
TFF nao wivu tu unawasumbua sasa huo mlango usio rasmi waliuweka wa nn kama hauruhusiwi watu kupita coz hata kwenye nyumba zetu kuna milango zaidi ya mmoja na inaruhusiwa kutumiwa
 
Haya mambo hayatakuja kuisha hadi watapoleta sheria ya kukatwa point ukifanya vitendo vya kishirikina.

Inawezekana ushirikina upo ila huku kwenye mpira ni kupoteza muda. Makolo walichoma moto kule kwa Madiba Afrika nzima inawaona lakini wapi.

Hivi vitendo vinavyofanywa na klabu inayojinasibu imewekeza mabilioni ni vya aibu sana. Ifike muda zianze kukatwa points akili zitawakaa sawa.
 
Hueleweki point yako ya msingi ni ipi?maana unasema yanga wamefanya uwekezaji mkubwa hapo hapo Tena unasema,yanga wanajua mbinu wanazotumia simba mbinu gani,zaidi ya ushirikina kwanini Kwanza upitie geti ambalo syo sahihi,
 
Fine wanazopigwa yanga na TFF tokea Hersi aingie madarakan zinawezafika billions, ni wakati sasa takukuru wafuatilie matumizi ya hizi fine
 
Hueleweki point yako ya msingi ni ipi?maana unasema yanga wamefanya uwekezaji mkubwa hapo hapo Tena unasema,yanga wanajua mbinu wanazotumia simba mbinu gani,zaidi ya ushirikina kwanini Kwanza upitie geti ambalo syo sahihi,
Uwekezaji mkubwa ni pamoja na kuwekeza kwenye maarifa ya kutambua mbinu zote wanazotumia wapinzani wako kukushinda.

Ndio maana Sasa tunapiga hesabu za Ubingwa wa Afrika kwakua tumesha elewa ili uwe Bingwa wa Afrika unatakiwa ujipaange vipi ukiachana na kikosi imara Cha wachezaji.
 
Una akili sana mkuu
 
Muhimu point 3 tu
 
Mwamuzi wa Ile mechi ya Simba Vs Dodoma Jiji ajaletwa kwenye kamati,maana hata jana ni kidogo tu agawe penalty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…