Uchawi wa kutega milangoni huwezi wapata Yanga.
Tusisahau Simba ndio klabu inayo tambulika na CAF kwa mambo ya kishirikina kwa kiwango Cha lami.
Kule South Afrika wali itia Nchi fedheha kwa kuwasha moto wa kishirikina katikati ya uwanja ugenini na Bado waka kandwa na Orlando Pirates.
Kwa hapa bongo kwa misimu kumi mfululizo katika matukio tofauti Simba imekua ikiadhibiwa kwa kujihusisha na vitendo vya kishirikina.
Bahati mbaya kwa Simba Yanga inafahamu mitego Yao yote ya kichawi katika milango ya kuingilia uwanjani na uweza kuikwepa kwa kutopita maeneo husika na kwenda kuwa Kanda uwanjani.