Yanga imepata sababu ya kumfukuza kocha wake. Ni 08 March

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Baada ya kugundua falsafa yake ya gusa, achia twende kwao haina Afya kwa Yanga, uongozi umepata sababu ya kuachana na kocha wao huo na sababu pekee ni baada ya kukumbuka Kuwa mechi yao na Simba itakayochezwa March 2025 YANGA ITAFUNGWA KWA MAGOLI MENGI TU NA MENGINE YA AIBU NA KUFEDHEHESHA. HIVYO HIYO NDIO SABABU INAYOSUBIRIWA KUMUONDOA KOCHA.
 
Simba hana kikosi cha kumfunga Yanga goli nyingi. Hata mimi ningependa huyu kocha atimuliwe ila sioni namna Simba atasaidia kufanikisha hili.
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
 
Baada ya kugundua falsafa yake ya gusa, achia twende kwao haina Afya kwa Yanga, uongozi umepata sababu ya kuachana na kocha wao huo na sababu pekee ni baada ya kukumbuka Kuwa mechi yao na Simba itakayochezwa March 2025 YANGA ITAFUNGWA KWA MAGOLI MENGI TU NA MENGINE YA AIBU NA KUFEDHEHESHA. HIVYO HIYO NDIO SABABU INAYOSUBIRIWA KUMUONDOA KOCHA.
Unaongea ukiwa Unatumia kinywaji gani hapo
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
Kwa kumuenzi ungeweka basi picha yake hapo na nyuma yake bendera ya nchi yako. Naona hapo wewe moyo wako ni Marekani.

Ila nakubali hakika Mwl Nyerere alitaja maadui hao lakinii akasisitiza zaidi adui UJINGA
 
MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.

BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.

AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
Ndiyo maadui haswa wanaowatesa madunduka.
 
Baada ya kugundua falsafa yake ya gusa, achia twende kwao haina Afya kwa Yanga, uongozi umepata sababu ya kuachana na kocha wao huo na sababu pekee ni baada ya kukumbuka Kuwa mechi yao na Simba itakayochezwa March 2025 YANGA ITAFUNGWA KWA MAGOLI MENGI TU NA MENGINE YA AIBU NA KUFEDHEHESHA. HIVYO HIYO NDIO SABABU INAYOSUBIRIWA KUMUONDOA KOCHA.
Hiyo falsafa ya gusa achia twende kwao sio ya kocha saidi.Hiyo ni kauli mbiu ya mchambuzi mmoja ambapo kamwe aliiba na kuwaletea wachezaji.
Wachezaji walikuwa wanafuata kauli mbiu ya msemaji wao wakasahau walivyofundishwa na saidi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Tunatunza risiti wenzako walisema hivyo hivyo ila mpaka.leo wanajuta kufuta uzi hawawezi
 
Sioni Simba akimfunga Yanga, ile timu ya Shirikisho uwezo wake mdogo sana.
 
Back
Top Bottom