Simba hana kikosi cha kumfunga Yanga goli nyingi. Hata mimi ningependa huyu kocha atimuliwe ila sioni namna Simba atasaidia kufanikisha hili.Baada ya kugundua falsafa yake ya gusa, achia twende kwao haina Afya kwa Yanga, uongozi umepata sababu ya kuachana na kocha wao huo na sababu pekee ni baada ya kukumbuka Kuwa mechi yao na Simba itakayochezwa March 2025 YANGA ITAFUNGWA KWA MAGOLI MENGI TU NA MENGINE YA AIBU NA KUFEDHEHESHA. HIVYO HIYO NDIO SABABU INAYOSUBIRIWA KUMUONDOA KOCHA.
Unaongea ukiwa Unatumia kinywaji gani hapoBaada ya kugundua falsafa yake ya gusa, achia twende kwao haina Afya kwa Yanga, uongozi umepata sababu ya kuachana na kocha wao huo na sababu pekee ni baada ya kukumbuka Kuwa mechi yao na Simba itakayochezwa March 2025 YANGA ITAFUNGWA KWA MAGOLI MENGI TU NA MENGINE YA AIBU NA KUFEDHEHESHA. HIVYO HIYO NDIO SABABU INAYOSUBIRIWA KUMUONDOA KOCHA.
Tarehe 9 March urudi tena hapaAden Range ajengewe sanan
Kwa kumuenzi ungeweka basi picha yake hapo na nyuma yake bendera ya nchi yako. Naona hapo wewe moyo wako ni Marekani.MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.
BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.
AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
Ndiyo maadui haswa wanaowatesa madunduka.MWAKA 1961 TANGANYIKA IKIPATA UHURU.
BABA WA TAIFA ALIWATAJA MAADUI WAKUU WA TATU WA TAIFA.
1. UMASIKINI.
2. UJINGA.
3. MARADHI.
AKAMALIZA KWA KUSEMA "MAADUI HAWA NI MAADUI KWELI KWELI NA SI MAADUI WA DHIHAKA"
JK NYERERE
Siyo jukwaa la michezo,jf imevamiwa na kizazi cha hovyo zaidi nchiniJukwaa la michezo siku hizi limevamiwa na kizazi cha ajabu sana.
YeahJukwaa la michezo siku hizi limevamiwa na kizazi cha ajabu sana.
Narudi tarehe nane baada ya mechiTarehe 9 March urudi tena hapa
Hasa vitoto vya 2000Jukwaa la michezo siku hizi limevamiwa na kizazi cha ajabu sana.
Hiyo falsafa ya gusa achia twende kwao sio ya kocha saidi.Hiyo ni kauli mbiu ya mchambuzi mmoja ambapo kamwe aliiba na kuwaletea wachezaji.Baada ya kugundua falsafa yake ya gusa, achia twende kwao haina Afya kwa Yanga, uongozi umepata sababu ya kuachana na kocha wao huo na sababu pekee ni baada ya kukumbuka Kuwa mechi yao na Simba itakayochezwa March 2025 YANGA ITAFUNGWA KWA MAGOLI MENGI TU NA MENGINE YA AIBU NA KUFEDHEHESHA. HIVYO HIYO NDIO SABABU INAYOSUBIRIWA KUMUONDOA KOCHA.
SawaNarudi tarehe nane baada ya mechi