Yanga imevunja record Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

Yanga imevunja record Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika

Familia yako inashindia mihogo. Wewe unawaza rekodi za kijinga utakufa masikini mbwa wewe

Nakufahamu vizuri fanyakazi sasa hii rekodi ya kipuuzi inamchango gani katika kuleta maendeleo kwako.
Najua utakuja na uongo wako kuwa unamaisha mazuri hauna kitu mbwa wewe .
Alikuja kukuomba ela ya kula?
Pesa ya bando unampa wewe?

Ila wa BONGO, yah munayaweza.
 
record babkubwa zaidi.

1) Aucho mchezaji wa Yanga alikuwa timu yao ya taifa na wamefuzu.

2) Diarra yupo Yanga kashiriki kufuzu AFCON na Mali imefuzu.

3) Dube yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Zimbabwe imefuzu AFCON

4) Aziz ki yupo Yanga na kashiriki kufuzu AFCON na Burkina Faso imefuzu AFCON

5) Chama na Musonda wameshiriki kufuzu AFCON na Zambia imefuzu AFCON.

6) Mzize, Mudathir,Baca, Job wameshiriki kufuzu AFCON na Tanzania imefuzu AFCON

7) Abuya kashiriki kufuzu AFCON na Kenya ikashindwa kufuzu AFCON.

8) katika mechi ya Tanzania vs Guinea, wachezaji waliotumikia Yanga wameshirikiana kumtungua kipinipini Camara (Feitoto - Mudathir -Msuva)

Yanga imetoa wachezaji 11 katika mataifa 7, katika mataifa hayo 7 ni mchezaji wa taifa moja pekee ndiyo timu yake imeshindwa kufuzu AFCON.
Muda uliotumia kuandika huu upuuzi ungeutumia kunyoa mavuzi ungekuwa nadhifu.
 
Hongera kwa uchambuzi. Umeingiza shilingi ngapi mara baada ya hayo kutokea?
 
Back
Top Bottom