Yanga imewahi kula 6-0 na Raja Casablanca, Historia kujirudia

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

JBIBEPTS
1
ASEC Mimosas
610413
2
Manning Rangers
69610
3
Raja Casablanca
61278
4
Yanga
65192

Kwa vile wenzetu wanapenda kuishi kwa historia, leo naleta kwao historia iliyoingiza nchi kwenye aibu.

Mwaka 1998 Yanga ilipokea kipigo cha 6-0 toka kwa Mwarabu. Juzi hapa walileta stori ya Club Africain kupigwa 6 na TP Mazembe miaka hiyooo.

Ukilinganisha ubora wa Club Africain na udhaifu wa Yanga, ni imani yangu historia hii inaenda kujirudia. Ikumbukwe kwamba Kipanga alipokea kipigo kama hicho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ni historia angalia hiyo hapo
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Wazee wa sudan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…