kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mpira hauchezwi kwenye vyombo vya habari, unachezwa uwanjani. Maneno hayachezi mpira, chuki na mahaba ya mtu havisababishi timu kushindwa au kushinda.
Yanga imewafundisha watu somo hili la weledi. Sasa hivi wachambuzi wote wamenyooka kama rula, wameanza kuamini kama mpira ni sayansi, mpira ni benchi la ufundi, mpira ni uongozi bora na mpira ni uwekezaji bora.
Hakuna kuropoka sasa hivi.