Yanga imewapa somo wachambuzi wetu

Yanga imewapa somo wachambuzi wetu

Mbona wewe unaropoka.

Ama kweli WATANZANIA ni mazwazwa sana.....!!!!!

Toa kibanzi kilichopo jichoni mwako ndipo utoe boriti iliyo jichoni kwa mwenzako.
Yanga inazidi kutoa somo kwa wadau wa mpira kuwa mpira sio uchawi Wala timu kupanngiwa ratiba mbovu au nzuri, au timu kupendwa na shirikisho la mpira au kuchukiwa, bali mpira ni uwekezaji na sayansi. Simba kuingia makundi na Yanga kutolewa championship wachambuzi wetu wakaingiwa na wazimu wa kuisifu Simba na kuponda kila kitu na kila sekta ya Yanga kuanzia machezaji, kocha, uongozi mpaka wawekezaji. Bahati mbaya kibwagizo Cha wimbo wa wachambuzi kikapata waimbaji ndani ya mashabiki wa Yanga wakaanza nao kuimba Nabi Nabi, hersi hersi Mayele Mayele.
 
Ilifikawakati makocha wa Simba walikuwa wanasikiliza vipindi vya sports ili kupata ushauri na mbini za kushinda mechi dhidi ya Yanga, na kweli wanakwenda kupanga kikosi kama walivyoambiwa na wachambuzi wao uchwara. Sasa hivi wachambuzi wale wameacha kuishauri simba baada ya ubeaten za Yanga kusonga mbele.
 
Mpira wa kisasa kiukweli hakuna ujanja ujanja.

Angalia ukianzia ulaya Manchester city, Real, PSG na Bayern hawachukui ubingwa kila siku bahati mbaya.

Wameinvest hasa kwa kuwa na makocha Bora na wachezeji wanaojitambua.

Hata africa waangalie Alhaly na Mamerodi ni timu ambazo hata ukizifunga unatakiwa ushangilie Sana.

Naiona yanga ikielekea huko kwenye kushinda na giants wa africa akianzia kwenye shirikisho.

Ndani ya miaka 5 ijayo yanga itakuwa ni timu hatari na tishio africa na sio kusindikiza watu kwenda kuchukua vikombe we unarudi..

Mpira ni uwekezaji na sio ujanja ujanja!!
Hivi kumbe yanga imewekeza eee[emoji23]...hivi mkuu kweli hatakama shule cjaenda utanishawishi vp kuwa yanga imewekeza kwenye football yaan timu kushinda na kuchukua ubingwa mara moja ndo imewekeza kama man city,psg kweli??

Timu inakodisha kila kitu kiwanja cha mazoez hadi gym utalinganisha vp na mameloud sundowns na mabingwa ahly.

Timu hata academy haina inaokota vijana wameshakomaa viungo na wamezidi miaka 25 inawaita under 20 huu ni uwekezajizaji kweli.

Simba,yanga zote hakuna aliyewekeza kwenye football kidogo bakhresa anajitahidi ila anakwamishwa na siasa za simba na yangu.
 
Uko sahihi mkuu, lazima timu zifuate hatua zote za kuwa timu kubwa, sio hatua za mkato na ujanjaujanja za kuwasha moto katikati ya uwanja, au kupulizia wanzako dawa za usingizi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.

Yanga inaelekea huko kwakuwa kila sector yao kuna vijana na kuna wasomi ambao hawaujui uchawi hata kidogo. Mfano, hersi, Nabi, Kasze, kamwe, Priva, Haji ni nani kati ya hao utamshawishi akafanye uchawi ili ashinde mechi, sanasana watakuli mambo ya dua, kutoa sadaka, nk lakini sio kuchimbia kondoo mzima kwenye shimo kama akina mangungu.
 
Hivi kumbe yanga imewekeza eee[emoji23]...hivi mkuu kweli hatakama shule cjaenda utanishawishi vp kuwa yanga imewekeza kwenye football yaan timu kushinda na kuchukua ubingwa mara moja ndo imewekeza kama man city,psg kweli??

Timu inakodisha kila kitu kiwanja cha mazoez hadi gym utalinganisha vp na mameloud sundowns na mabingwa ahly.

Timu hata academy haina inaokota vijana wameshakomaa viungo na wamezidi miaka 25 inawaita under 20 huu ni uwekezajizaji kweli.

Simba,yanga zote hakuna aliyewekeza kwenye football kidogo bakhresa anajitahidi ila anakwamishwa na siasa za simba na yangu.
Acha chuki dada, kama unaona Yanga au Simba hazijawekeza basi jaribu hapo mtaani kwako kuidhamini timu ya kitaa hata kwa mwezi mmoja uone kama hujabaki fuvu tu.
 
Back
Top Bottom