Yanga imuuze Feitoto

Yanga imuuze Feitoto

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
2,987
Reaction score
1,954
1. Kwa hali ilipofikia hakuna namna mchezaji kuendelea kuichezea yanga

2. Hawezi chezea timu yoyote mpaka mkataba wake uishe

3. Waliomrubuni hawawezi kujitokeza hadharani

4. Kijana bado mdogo na taifa linamuhitaji

Nawashauri viongozi wangu wa yanga tangazeni kumuuza mara moja (muwekeni sokoni) na dau lisipungue milioni miatano
Mapovu ruksa
 
Ushauri mzuri ila umekosea kwenye dau. Timu tayari zinajua Yanga anaweza kumpoteza Feisal bila kupata senti kwa hiyo Yanga haiko kwenye nafasi ya kudai dau kubwa. Hii dhana eti tuendelee kumlipa mshahara hata kama ameitelekeza timu ili baadae tuje tumshtaki haitakuja kuisaidia Yanga.

Mimi ningekuwa huko kwenye uongozi wa Yanga, ningewatafuta Simba na Azam na kuuliza kama wako tayari kumchukua ili tu kumalizana na hili suala na pia kuokoa kipaji chake. Dirisha la usajili limeshafungwa ila kama moja ya timu hizi ikikubali na Feisal akaridhia, itakuwa win win kwa kila mtu. Feisal atapata fursa ya kufanya mazoezi na kucheza mechi za kirafiki na timu yake mpya na Yanga itapata kiasi fulani cha pesa, nadhani itakuwa inacheza kwenye milioni 150 hivi, kila mtu atatoka amefurahi. Maisha yaendelee.

Yanga wakisubiri mkataba wake na Feisal uishe kabla hawajamuuza, hawataambulia hata senti maana atakuwa mchezaji huru na hamuwezi kuinyooshea hiyo timu itakayomchukua kuwa ndiyo mchawi maana hakutakuwa na ushahidi kuwa walihusika.

Mods: Hizi nyuzi za Feisal zimekuwa nyingi sana, fanyeni mpango wa kuziunganisha.
 
Ushauri mzuri ila umekosea kwenye dau. Timu tayari zinajua Yanga anaweza kumpoteza Feisal bila kupata senti kwa hiyo Yanga haiko kwenye nafasi ya kudai dau kubwa. Hii dhana eti tuendelee kumlipa mshahara hata kama ameitelekeza timu ili baadae tuje tumshtaki haitakuja kuisaidia Yanga.

Mimi ningekuwa huko kwenye uongozi wa Yanga, nimewaapproach Simba au Azam na kuuliza kama wako tayari kumchukua ili tu kumalizana na hili suala na pia kuokoa kipaji chake. Dirisha la usajili limeshafungwa ila kama moja ya timu hizi ikikubali na Feisal akaridhia, itakuwa win win kwa kila mtu. Feisal atapata fursa ya kufanya mazoezi na kucheza mechi za kirafiki na timu yake mpya na Yanga itapata kiasi fulani cha pesa, nadhani itakuwa inacheza kwenye milioni 150 hivi, kila mtu atatoka amefurahi. Maisha yaendelee.

Yanga wakisubiri mkataba wake na Feisal uishe kabla hawajamuuza, hawataambulia hata senti maana atakuwa mchezaji huru na hamuwezi kuinyooshea hiyo timu itakayomchukua kuwa ndiyo mchawi maana hakutakuwa na ushahidi kuwa walihusika.

Mods: Hizi nyuzi za Feisal zimekuwa nyingi sana, fanyeni mpango wa kuziunganisha.
Labda niku ulize huo mkataba utaisha vipi bila kutumika? kwamba Fei akae nyumbani asubiri mkataba uishe uliwahi kusikia wapi?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni wewe uliwahi kuandika kichekesho kimoja hapa kuwa eti kama mkataba ukiisha muda wake halafu Feisal hajarudi, basi mtaanza kuhesabu upya siku anazotakiwa kuitumikia club?

Feisal hayuko nyumbani akisubiri mkataba uishe, anataka kuhama timu akacheze kwingine.
 
Hivi ni wewe uliwahi kuandika kichekesho kimoja hapa kuwa eti kama mkataka ukiisha muda wake halafu Feisal hajarudi, basi mtaanza kuhesabu upya siku anazotakiwa kuitumikia club?

Ungejikita kwenye swali langu usifanye mambo yawe mengi, mfano ukipewa mkataba wa kujenga daraja kwa miezi sita uka amua kutojenga unasubiri miezi 6 iishe contract inakua imeisha una endelea na mambo yako si ndio?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni wewe uliwahi kuandika kichekesho kimoja hapa kuwa eti kama mkataka ukiisha muda wake halafu Feisal hajarudi, basi mtaanza kuhesabu upya siku anazotakiwa kuitumikia club?

Feisal hayuko nyumbani akisubiri mkataba uishe, anataka kuhama timu akacheze kwingine.
Basi utaratibu wa TFF na FIFA ufuatwe, full stop
 
Atauzwa ila subiri apoteze quality yake kwanza.
Hatuwezi kuruhusu wapate walichokusudia.Yanga inaendelea bila yeye.
 
Ushauri mzuri ila umekosea kwenye dau. Timu tayari zinajua Yanga anaweza kumpoteza Feisal bila kupata senti kwa hiyo Yanga haiko kwenye nafasi ya kudai dau kubwa. Hii dhana eti tuendelee kumlipa mshahara hata kama ameitelekeza timu ili baadae tuje tumshtaki haitakuja kuisaidia Yanga.

Mimi ningekuwa huko kwenye uongozi wa Yanga, nimewatafuta Simba au Azam na kuuliza kama wako tayari kumchukua ili tu kumalizana na hili suala na pia kuokoa kipaji chake. Dirisha la usajili limeshafungwa ila kama moja ya timu hizi ikikubali na Feisal akaridhia, itakuwa win win kwa kila mtu. Feisal atapata fursa ya kufanya mazoezi na kucheza mechi za kirafiki na timu yake mpya na Yanga itapata kiasi fulani cha pesa, nadhani itakuwa inacheza kwenye milioni 150 hivi, kila mtu atatoka amefurahi. Maisha yaendelee.

Yanga wakisubiri mkataba wake na Feisal uishe kabla hawajamuuza, hawataambulia hata senti maana atakuwa mchezaji huru na hamuwezi kuinyooshea hiyo timu itakayomchukua kuwa ndiyo mchawi maana hakutakuwa na ushahidi kuwa walihusika.

Mods: Hizi nyuzi za Feisal zimekuwa nyingi sana, fanyeni mpango wa kuziunganisha.
Uliona wapi mchezaji anauzwa kwa staili uloandika hapo?

Yaani mchezaji wako alafu unazifwata timu kuziuliza kama zinamtaka😂
 
Ushauri mzuri ila umekosea kwenye dau. Timu tayari zinajua Yanga anaweza kumpoteza Feisal bila kupata senti kwa hiyo Yanga haiko kwenye nafasi ya kudai dau kubwa. Hii dhana eti tuendelee kumlipa mshahara hata kama ameitelekeza timu ili baadae tuje tumshtaki haitakuja kuisaidia Yanga.

Mimi ningekuwa huko kwenye uongozi wa Yanga, nimewatafuta Simba au Azam na kuuliza kama wako tayari kumchukua ili tu kumalizana na hili suala na pia kuokoa kipaji chake. Dirisha la usajili limeshafungwa ila kama moja ya timu hizi ikikubali na Feisal akaridhia, itakuwa win win kwa kila mtu. Feisal atapata fursa ya kufanya mazoezi na kucheza mechi za kirafiki na timu yake mpya na Yanga itapata kiasi fulani cha pesa, nadhani itakuwa inacheza kwenye milioni 150 hivi, kila mtu atatoka amefurahi. Maisha yaendelee.

Yanga wakisubiri mkataba wake na Feisal uishe kabla hawajamuuza, hawataambulia hata senti maana atakuwa mchezaji huru na hamuwezi kuinyooshea hiyo timu itakayomchukua kuwa ndiyo mchawi maana hakutakuwa na ushahidi kuwa walihusika.

Mods: Hizi nyuzi za Feisal zimekuwa nyingi sana, fanyeni mpango wa kuziunganisha.
Kwani Feisal aliweka Tsh ngapi kwenye akaunt ya Yanga? Ndo huko huko m100. Yanga labda kama wanataka kutuma ujumbe kwa wachezaji wengine.
 
1. Kwa hali ilipofikia hakuna namna mchezaji kuendelea kuichezea yanga

2. Hawezi chezea timu yoyote mpaka mkataba wake uishe

3. Waliomrubuni hawawezi kujitokeza hadharani

4. Kijana bado mdogo na taifa linamuhitaji

Nawashauri viongozi wangu wa yanga tangazeni kumuuza mara moja (muwekeni sokoni) na dau lisipungue milioni miatano
Mapovu ruksa
wazo ni zuri lakini ni lazima tufate utaratibu, fei aende yanga aongee nao na wavunje mkataba sio yanga ivunje no
 
Ushauri mzuri ila umekosea kwenye dau. Timu tayari zinajua Yanga anaweza kumpoteza Feisal bila kupata senti kwa hiyo Yanga haiko kwenye nafasi ya kudai dau kubwa. Hii dhana eti tuendelee kumlipa mshahara hata kama ameitelekeza timu ili baadae tuje tumshtaki haitakuja kuisaidia Yanga.

Mimi ningekuwa huko kwenye uongozi wa Yanga, nimewatafuta Simba au Azam na kuuliza kama wako tayari kumchukua ili tu kumalizana na hili suala na pia kuokoa kipaji chake. Dirisha la usajili limeshafungwa ila kama moja ya timu hizi ikikubali na Feisal akaridhia, itakuwa win win kwa kila mtu. Feisal atapata fursa ya kufanya mazoezi na kucheza mechi za kirafiki na timu yake mpya na Yanga itapata kiasi fulani cha pesa, nadhani itakuwa inacheza kwenye milioni 150 hivi, kila mtu atatoka amefurahi. Maisha yaendelee.

Yanga wakisubiri mkataba wake na Feisal uishe kabla hawajamuuza, hawataambulia hata senti maana atakuwa mchezaji huru na hamuwezi kuinyooshea hiyo timu itakayomchukua kuwa ndiyo mchawi maana hakutakuwa na ushahidi kuwa walihusika.

Mods: Hizi nyuzi za Feisal zimekuwa nyingi sana, fanyeni mpango wa kuziunganisha.
Umeandika kama hauna akili timamu vile, Hapo nani anayeonekana kupoteza kati ya Yanga na mtoto mdogo Fey? Mtu yupo ndani ya mkataba eti unasema Yanga atapoteza? Tena kwa taarifa yako kwa tabia na mwenendo aliouonyesha kijana ndiye aliyejishusha soko maana hakuna club itamhitaji!
 
Niuze Prado langu la thamani kwa milioni 5 kisa siwezi kulitumia. Bora likae gereji mpaka lichakae.
Feisal ni mkubwa kuliko Yanga. Unakumbuka kipindi cha Morrison walivyohangaika wanayanga?
 
Ushauri mzuri ila umekosea kwenye dau. Timu tayari zinajua Yanga anaweza kumpoteza Feisal bila kupata senti kwa hiyo Yanga haiko kwenye nafasi ya kudai dau kubwa. Hii dhana eti tuendelee kumlipa mshahara hata kama ameitelekeza timu ili baadae tuje tumshtaki haitakuja kuisaidia Yanga.

Mimi ningekuwa huko kwenye uongozi wa Yanga, nimewatafuta Simba au Azam na kuuliza kama wako tayari kumchukua ili tu kumalizana na hili suala na pia kuokoa kipaji chake. Dirisha la usajili limeshafungwa ila kama moja ya timu hizi ikikubali na Feisal akaridhia, itakuwa win win kwa kila mtu. Feisal atapata fursa ya kufanya mazoezi na kucheza mechi za kirafiki na timu yake mpya na Yanga itapata kiasi fulani cha pesa, nadhani itakuwa inacheza kwenye milioni 150 hivi, kila mtu atatoka amefurahi. Maisha yaendelee.

Yanga wakisubiri mkataba wake na Feisal uishe kabla hawajamuuza, hawataambulia hata senti maana atakuwa mchezaji huru na hamuwezi kuinyooshea hiyo timu itakayomchukua kuwa ndiyo mchawi maana hakutakuwa na ushahidi kuwa walihusika.

Mods: Hizi nyuzi za Feisal zimekuwa nyingi sana, fanyeni mpango wa kuziunganisha.
Uuze muda huu kwani dirisha lipo wazi?
Mwache aendelee kudanganywa na bush lawyers wake.
Nina hakika si muda mrefu atashitakiwa CAS Kwa kuitelekeza Klabu na atailipa Yanga mapesa makubwa sana
 
Hivi ni wewe uliwahi kuandika kichekesho kimoja hapa kuwa eti kama mkataka ukiisha muda wake halafu Feisal hajarudi, basi mtaanza kuhesabu upya siku anazotakiwa kuitumikia club?

Feisal hayuko nyumbani akisubiri mkataba uishe, anataka kuhama timu akacheze kwingine.
Yanga haijamkataza feisal kuhamia timu nyingine,inachotaka ahame kwa njia stahiki sio kihuni huni tu
 
Ungejikita kwenye swali langu usifanye mambo yawe mengi, mfano ukipewa mkataba wa kujenga daraja kwa miezi sita uka amua kutojenga unasubiri miezi 6 iishe contract inakua imeisha una endelea na mambo yako si ndio?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mfano wako haufananii na kile tunachoongelea hapa. Hauwezi kufananisha mkataba wa ujenzi wa daraja na mkataba wa soka, muundo na vipengele vyake vinatofautiana sana.

Nikikupa mfano mmoja. Ujenzi wa daraja una hali mbili ambazo ni kawaida kutokea, mkandarasi anaweza kumaliza ujenzi kabla au baada ya muda wa mkataba na kuna vipengele vinatakiwa kuongelea hali kama hizo zilitokea itakuwaje, kitu ambacho kwenye mkataba wa soka hakiwezi kuwepo.

Boresha mfano wako.
 
Back
Top Bottom