Yanga imuuze Feitoto

Yanga imuuze Feitoto

Yaan basic salary iwe 4m umuuze kwa 500m?

Kwa labda wamboreshee mkataba ili naye apewe kiasi fulani, then ndo wamuuze.
Kweni mchezaji huwa anauzwa kwa kuiangalia basic salary??

Nikupe mfano

Angalia mshahara alokua analipya Antony pale ajax alafu angalia dau alauzwa nalo.

Angalia mshahara alokua analipya Enzo pale Benifica alafu angalia dau alouzwa nalo.

Kinachoangaliwa mchezaji auzwe dau gani ni Ile Release clause yake iliyopo kwenye mkataba
 
Umeandika kama hauna akili timamu vile, Hapo nani anayeonekana kupoteza kati ya Yanga na mtoto mdogo Fey? Mtu yupo ndani ya mkataba eti unasema Yanga atapoteza? Tena kwa taarifa yako kwa tabia na mwenendo aliouonyesha kijana ndiye aliyejishusha soko maana hakuna club itamhitaji!
Kama Yanga walimuhitaji tena morisson aliyewaburuza hadi CAS , Feisal ndiye asipate timu kisa tu kaikataa Yanga?
 
1. Kwa hali ilipofikia hakuna namna mchezaji kuendelea kuichezea yanga

2. Hawezi chezea timu yoyote mpaka mkataba wake uishe

3. Waliomrubuni hawawezi kujitokeza hadharani

4. Kijana bado mdogo na taifa linamuhitaji

Nawashauri viongozi wangu wa yanga tangazeni kumuuza mara moja (muwekeni sokoni) na dau lisipungue milioni miatano
Mapovu ruksa
Injinia mara zote amekuwa akisema,timu inayomtaka Feitoto ipeleke ofa mezani wazungumze.Cha ajabu hakuna timu anaejitokeza. Sa unataka Yanga wafanyeje?
 
Back
Top Bottom