tony92
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,398
- 3,691
Kweni mchezaji huwa anauzwa kwa kuiangalia basic salary??Yaan basic salary iwe 4m umuuze kwa 500m?
Kwa labda wamboreshee mkataba ili naye apewe kiasi fulani, then ndo wamuuze.
Nikupe mfano
Angalia mshahara alokua analipya Antony pale ajax alafu angalia dau alauzwa nalo.
Angalia mshahara alokua analipya Enzo pale Benifica alafu angalia dau alouzwa nalo.
Kinachoangaliwa mchezaji auzwe dau gani ni Ile Release clause yake iliyopo kwenye mkataba