Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
The actions of Young African Sports Club President, Eng. Hersi, on Aug 12, 2025 at Mlimani City, Dar es Salaam Tanzania publicly contributing, on behalf of the club, to and endorsing a political party @ccm_tanzania, constitute a direct and unequivocal breach of the FIFA Code of Ethics, specifically:Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Kwa tukio la ajana mtu anakuambia ana-hama Yanga ni jambo la ajabu sana
- Kuna mashabiki wa Yanga ni waislamu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wakristo
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni ccm,
- Kuna mashabiki wa Yanga ni chadema
- Kuna mashabiki Yanga hawana chama
Shuhuli nyingi za Yanga mara nyingi ni mashehe wanatoa dua ila huwezi kuta mchungaji wa dhehebu lolote lile au hata padre mbona sisi wakristo hatujahama timu
Siku ukiingia uongozi wa Yanga unaoaffiliate na act, chadema, au chauma basi utajifungamanisha na hivyo vyama, kama ilivyo sasa uongozi uliopo umejifungamanisha na ccm ilo liko wazi sasa nashangaa watu waliokasirika na kuama timu hawajafikiria kwa mapana
Elewa kwanza uzi na acha kutumia emotion, hizi timu zimeshafanya mambo mengi ya hovyo na wataendelea kufanyaThe actions of Young African Sports Club President, Eng. Hersi, on Aug 12, 2025 at Mlimani City, Dar es Salaam Tanzania publicly contributing, on behalf of the club, to and endorsing a political party @ccm_tanzania, constitute a direct and unequivocal breach of the FIFA Code of Ethics, specifically:
•Article 14 – Duty of Neutrality
•Article 19 – Conflicts of Interest
These rules strictly prohibit football officials from engaging in political activities or using their position to promote political interests.
Non sense ❌❌❌❌Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Kwa tukio la ajana mtu anakuambia ana-hama Yanga ni jambo la ajabu sana
- Kuna mashabiki wa Yanga ni waislamu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wakristo
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni ccm,
- Kuna mashabiki wa Yanga ni chadema
- Kuna mashabiki Yanga hawana chama
Shuhuli nyingi za Yanga mara nyingi ni mashehe wanatoa dua ila huwezi kuta mchungaji wa dhehebu lolote lile au hata padre mbona sisi wakristo hatujahama timu
Siku ukiingia uongozi wa Yanga unaoaffiliate na act, chadema, au chauma basi utajifungamanisha na hivyo vyama, kama ilivyo sasa uongozi uliopo umejifungamanisha na ccm ilo liko wazi sasa nashangaa watu waliokasirika na kuama timu hawajafikiria kwa mapana
Dawa ni kuwaripoti TU FIFAElewa kwanza uzi na acha kutumia emotion, hizi timu zimeshafanya mambo mengi ya hovyo na wataendelea kufanya
Tatizo unafikiria kilocal sana. Mpira una rules zake internationally so long timu yako iko recognised na FIFA.Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Kwa tukio la ajana mtu anakuambia ana-hama Yanga ni jambo la ajabu sana
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CCM,
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CHADEMA
- Kuna mashabiki Yanga hawana chama
Shuhuli nyingi za Yanga mara nyingi ni mashehe wanatoa dua ila huwezi kuta mchungaji wa dhehebu lolote lile au hata padre mbona sisi wakristo hatujahama timu
Siku ukiingia uongozi wa Yanga unaoaffiliate na act, chadema, au chauma basi utajifungamanisha na hivyo vyama, kama ilivyo sasa uongozi uliopo umejifungamanisha na ccm ilo liko wazi sasa nashangaa watu waliokasirika na kuama timu hawajafikiria kwa mapana
Kwa hiyo tuendelee kukumbatia mambo ya hovyo wayafanyayo on daily basis?Elewa kwanza uzi na acha kutumia emotion, hizi timu zimeshafanya mambo mengi ya hovyo na wataendelea kufanya
Kwa hiyo ni halali kuendelea kufumbia macho mambo ya hovyo kwa kuwa huwa yanafanywa..Elewa kwanza uzi na acha kutumia emotion, hizi timu zimeshafanya mambo mengi ya hovyo na wataendelea kufanya
Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Kwa tukio la ajana mtu anakuambia ana-hama Yanga ni jambo la ajabu sana
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CCM,
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CHADEMA
- Kuna mashabiki Yanga hawana chama
Shuhuli nyingi za Yanga mara nyingi ni mashehe wanatoa dua ila huwezi kuta mchungaji wa dhehebu lolote lile au hata padre mbona sisi wakristo hatujahama timu
Siku ukiingia uongozi wa Yanga unaoaffiliate na act, chadema, au chauma basi utajifungamanisha na hivyo vyama, kama ilivyo sasa uongozi uliopo umejifungamanisha na ccm ilo liko wazi sasa nashangaa watu waliokasirika na kuama timu hawajafikiria kwa mapana
Eng hersi na GSM hawezi kaa yanga milele wataondoka kama walivyoikuta YangaLeo umepuyanga Mkuu.
Ni heri ungekaa kimya, si kila jambo kulianzishia uzi.
Wakati mwingine ficha ujinga wako usijianike hivi mbele ya hadhara wote tukafahamu kuwa wewe ni mjinga.
Mmepiga kelele mbona hata post hawajaondoa focus na mambo ya msingiKwa hiyo ni halali kuendelea kufumbia macho mambo ya hovyo kwa kuwa huwa yanafanywa..
Pathetic fool
Hama timu kuna timu 16 kwenye ligi ya nbcKwa hiyo tuendelee kukumbatia mambo ya hovyo wayafanyayo on daily basis?
Ujuaji mwingi unakua expose unaonekana dishi limeyumba 🤣🤣🤣Leo umepuyanga Mkuu.
Ni heri ungekaa kimya, si kila jambo kulianzishia uzi.
Wakati mwingine ficha ujinga wako usijianike hivi mbele ya hadhara wote tukafahamu kuwa wewe ni mjinga.
Ni mara ngapi Yanga hafuati sheria mbona Rais kaamua mechi ya tarehe 26 June kinyume na taratibuUjuaji mwingi unakua expose unaonekana dishi limeyumba 🤣🤣🤣
Unasikia dogo Dennis Robert Shughuru FIFA ina statues zake kwa hizi timu za mpira wa miguu ambao ni wanachama wake.
View attachment 3440309
Yanga anabanwa na huu Muongozo namba 19
waondoke ti wakashanikie timu za kwao wasitubabaishe hawajachangisheaYanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Kwa tukio la ajana mtu anakuambia ana-hama Yanga ni jambo la ajabu sana
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CCM,
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CHADEMA
- Kuna mashabiki Yanga hawana chama
Shuhuli nyingi za Yanga mara nyingi ni mashehe wanatoa dua ila huwezi kuta mchungaji wa dhehebu lolote lile au hata padre mbona sisi wakristo hatujahama timu
Siku ukiingia uongozi wa Yanga unaoaffiliate na act, chadema, au chauma basi utajifungamanisha na hivyo vyama, kama ilivyo sasa uongozi uliopo umejifungamanisha na ccm ilo liko wazi sasa nashangaa watu waliokasirika na kuama timu hawajafikiria kwa mapana
Kwahiyo wewe unadhani una akili kuliko FIFA??Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Kwa tukio la ajana mtu anakuambia ana-hama Yanga ni jambo la ajabu sana
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CCM,
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CHADEMA
- Kuna mashabiki Yanga hawana chama
Shuhuli nyingi za Yanga mara nyingi ni mashehe wanatoa dua ila huwezi kuta mchungaji wa dhehebu lolote lile au hata padre mbona sisi wakristo hatujahama timu
Siku ukiingia uongozi wa Yanga unaoaffiliate na act, chadema, au chauma basi utajifungamanisha na hivyo vyama, kama ilivyo sasa uongozi uliopo umejifungamanisha na ccm ilo liko wazi sasa nashangaa watu waliokasirika na kuama timu hawajafikiria kwa mapana
Watu wanatumia sana hisia na sio uhalisiawaondoke ti wakashanikie timu za kwao wasitubabaishe hawajachangishea