Yanga ina mashabiki Waislamu, Wakristo, wapagani, wanachama wa CCM, CHADEMA, CUF, wasionachama n.k

Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
  1. Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu
  2. Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo
  3. Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
  4. Kuna mashabiki wa Yanga ni wachawi
  5. Kuna mashabiki wa dini ya ki-hindu
  6. Kuna mashabiki wa Yanga ni CCM,
  7. Kuna mashabiki wa Yanga ni CHADEMA
  8. Kuna mashabiki Yanga hawana chama
Kwa tukio la ajana mtu anakuambia ana-hama Yanga ni jambo la ajabu sana

Shuhuli nyingi za Yanga mara nyingi ni mashehe wanatoa dua ila huwezi kuta mchungaji wa dhehebu lolote lile au hata padre mbona sisi wakristo hatujahama timu wala kulalamika sababu hamna maana yeyote ya kulalamikia hilo jambo

Siku ukiingia uongozi wa Yanga unaoaffiliate na act, chadema, au chauma basi utajifungamanisha na hivyo vyama, kama ilivyo sasa uongozi uliopo umejifungamanisha na ccm ilo liko wazi sasa nashangaa watu waliokasirika na kuama timu hawajafikiria kwa mapana

Hizi timu zinamambo mengi ya ajabu na yataendelea kuwepo

Mimi sio mshabiki wa ccm ila siwezi hama timu eti kwa sababu yanga kachangia ccm

Na fahamu nchi ya Tanzania siasa imeingilia sana mpira iko mifano mingi sana na hii imesababishwa na timu kunyimwa uwezo wa kujiendesha na kuendelea kutegemea watu na as long zinategemea watu mambo kama haya hayataisha
Mm kuanzia jana sio shabiki tena wa yanga
 
Yaani CCM hawataki watanzania wenye uhuru na mambo yao. Watu tumekumbia siasa tukae mbali na stress kwa kujiburudisha na mpira wametufuata hukuhuku kutuvuruga. Kwenye muziki wametuvuruga na kwenye mpira jamani, sijui tutaishije nchi hii!? Hawa akina injinia kama wanapenda siasa waachane na mpira wajikite huko kwenye vyama, wengine hayo mambo ya ccm sijui chadema hatutaki kuyasikia.
 
Watu ndani ya Yanga wana dini zao
Elewa sio uongozi wa Yanga jaribu kuangalia matukio mengi ya Yanga

Washabiki wa Yanga ni wadini zote ila anagalia matukio ya Yanga ya karibuni sina lengo la kuiponda dini yeyote ila angalia circumstances
 
Yaani CCM hawataki watanzania wenye uhuru na mambo yao. Watu tumekumbia siasa tukae mbali na stress kwa kujiburudisha na mpira wametufuata hukuhuku kutuvuruga. Kwenye muziki wametuvuruga na kwenye mpira jamani, sijui tutaishije nchi hii!? Hawa akina injinia kama wanapenda siasa waachane na mpira wajikite huko kwenye vyama, wengine hayo mambo ya ccm sijui chadema hatutaki kuyasikia.
Sidhani ndani ya pitch ccm wanahusika hayo mambo ya nje ya pitch waachie

Na fahamu watu wa Yanga ni binadamu ambao wana-mambo wanayoyapenda na matamanio wanayo
 
Back
Top Bottom