Mchango umetolewa na GSM sio yanga au mimi sikuelewaYanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Kwa tukio la ajana mtu anakuambia ana-hama Yanga ni jambo la ajabu sana
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CCM,
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CHADEMA
- Kuna mashabiki Yanga hawana chama
Shuhuli nyingi za Yanga mara nyingi ni mashehe wanatoa dua ila huwezi kuta mchungaji wa dhehebu lolote lile au hata padre mbona sisi wakristo hatujahama timu
Siku ukiingia uongozi wa Yanga unaoaffiliate na act, chadema, au chauma basi utajifungamanisha na hivyo vyama, kama ilivyo sasa uongozi uliopo umejifungamanisha na ccm ilo liko wazi sasa nashangaa watu waliokasirika na kuama timu hawajafikiria kwa mapana
Mbona hizi taasisi zinaegemea upande wa waislamu na wakristo hawalalamikiKwahiyo wewe unadhani una akili kuliko FIFA??
Hakuna mtu anaksirika watu kiwa na mambo yao.
Shida ni matumizi ya taasisi kufanya hayo mambo.
Basi watangazie umma kuwa Yanga ni TIMU ya waislamu wa CCM.
Umma ujue.
Chadomo walisema watazifuta Simba na Yanga leo wanalialia nini? Nyie chukulieni kuwa Yanga imeshafutwa na Lema.Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Kwa tukio la ajana mtu anakuambia ana-hama Yanga ni jambo la ajabu sana
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CCM,
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CHADEMA
- Kuna mashabiki Yanga hawana chama
Shuhuli nyingi za Yanga mara nyingi ni mashehe wanatoa dua ila huwezi kuta mchungaji wa dhehebu lolote lile au hata padre mbona sisi wakristo hatujahama timu
Siku ukiingia uongozi wa Yanga unaoaffiliate na act, chadema, au chauma basi utajifungamanisha na hivyo vyama, kama ilivyo sasa uongozi uliopo umejifungamanisha na ccm ilo liko wazi sasa nashangaa watu waliokasirika na kuama timu hawajafikiria kwa mapana
Hizi timu zinamambo mengi ya ajabu na yataendelea kuwepo
Moja ni nafasi ya wachawi na nimeshabadilishaKwanini wapagani umerudia mara mbili,unatuonaje?
andiko umechemka kubali basiNi mara ngapi Yanga hafuati sheria mbona Rais kaamua mechi ya tarehe 26 June kinyume na taratibu
timu ni kama kabila huwezi KuhamaYanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Kwa tukio la ajana mtu anakuambia ana-hama Yanga ni jambo la ajabu sana
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wachawi
- Kuna mashabiki wa dini ya ki-hindu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CCM,
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CHADEMA
- Kuna mashabiki Yanga hawana chama
Shuhuli nyingi za Yanga mara nyingi ni mashehe wanatoa dua ila huwezi kuta mchungaji wa dhehebu lolote lile au hata padre mbona sisi wakristo hatujahama timu
Siku ukiingia uongozi wa Yanga unaoaffiliate na act, chadema, au chauma basi utajifungamanisha na hivyo vyama, kama ilivyo sasa uongozi uliopo umejifungamanisha na ccm ilo liko wazi sasa nashangaa watu waliokasirika na kuama timu hawajafikiria kwa mapana
Hizi timu zinamambo mengi ya ajabu na yataendelea kuwepo
Mimi sio mshabiki wa ccm ila siwezi hama timu eti kwa sababu yanga kachangia ccm
Zinaegemea vipi upande wa Waislam.Mbona hizi taasisi zinaegemea upande wa waislamu na wakristo hawalalamiki
Watakaotafsiri hizo sheria ni Fifa wenyewe sio sisi tunaocomment kishabiki hapa.Unaweza ukawaona yanga wamekosea kumbe nikwasababu ya hisia zako tu kumbe uko fifa wala lisiwe kosa.Yanga wameamua kufanya walichofanya na fifa itaamua kutoa tafsiri yao kwajinsi wanavyojua kama watakua wamekosea adhabu itatoka..Uku sisi niwapiga kelele tu.Kila taasisi inaongozwa na sheria na kanuni walizojiwekea. Yanga inatambuliwa na FIFA na inabidi wazingatie kanuni za FIFA. Kwa vile FIFA wanakataza timu za mpira kujihusisha na mambo ya siasa kwa namna yo yote ile, ni wazi kwamba walichokifanya Yanga jana ni makosa na wanaweza wakachukuliwa hatua na FIFA.
Kama walishawahi kuvunja kanuni huko nyuma na kufanya mambo ya ajabu, walikosea na tabia hiyo mbovu haiwapi uhalali wa kuendelea kufanya madudu kwa kisingizio kwamba ni kawaida yao. Ni sawasawa na mwizi aibe umkamate halafu ajitetee kuwa mbona huwa naiba kila mara leo mbona mmenikomalia sana?
Kama unataka kuja kuwa rais wetu ni lazima ujenge tabia ya kusimamia ukweli na kanuni. Vinginevyo nawe utakuja kusigina katiba yetu halafu tukihoji utuambie kuwa katiba ni kijitabu tu na kwamba kifo ni kifo tu hata kama watu wanadabuliwa kutoka kwenye basi mchana kweupe na kwenda kuuwawa.
Post ya leo hujafikiri vizuri na hii inakupunguzia credibility kama rais wetu ajaye. Jirekebishe!
Yanga ni kawaida kukuta amshehe wakisoma dua na ni ngumu kukuta mchungaji akisali au hata padre na kwangu mimi sioni hata ni ajabuZinaegemea vipi upande wa Waislam.
Timu zinavaa mpaka Kamari?
Ni kama swala la mechi ya tarehe 26 June watu walisema ligi itafungiwa kwa sababu tarehe ya mechi haijapangwa na ccmWatakaotafsiri hizo sheria ni Fifa wenyewe sio sisi tunaocomment kishabiki hapa.Unaweza ukawaona yanga wamekosea kumbe nikwasababu ya hisia zako tu kumbe uko fifa wala lisiwe kosa.Yanga wameamua kufanya walichofanya na fifa itaamua kutoa tafsiri yao kwajinsi wanavyojua kama watakua wamekosea adhabu itatoka..Uku sisi niwapiga kelele tu.
Rais harusiwi pia kuingilia mpira tusubirie kama wamekosea wataadhibiwa sababu FIFA wanajua namna bora ya kutafsiri sheriaKila taasisi inaongozwa na sheria na kanuni walizojiwekea. Yanga inatambuliwa na FIFA na inabidi wazingatie kanuni za FIFA. Kwa vile FIFA wanakataza timu za mpira kujihusisha na mambo ya siasa kwa namna yo yote ile, ni wazi kwamba walichokifanya Yanga jana ni makosa na wanaweza wakachukuliwa hatua na FIFA.
Kama walishawahi kuvunja kanuni huko nyuma na kufanya mambo ya ajabu, walikosea na tabia hiyo mbovu haiwapi uhalali wa kuendelea kufanya madudu kwa kisingizio kwamba ni kawaida yao. Ni sawasawa na mwizi aibe umkamate halafu ajitetee kuwa mbona huwa naiba kila mara leo mbona mmenikomalia sana?
Kama unataka kuja kuwa rais wetu ni lazima ujenge tabia ya kusimamia ukweli na kanuni. Vinginevyo nawe utakuja kusigina katiba yetu halafu tukihoji utuambie kuwa katiba ni kijitabu tu na kwamba kifo ni kifo tu hata kama watu wanadabuliwa kutoka kwenye basi mchana kweupe na kwenda kuuwawa.
Post ya leo hujafikiri vizuri na hii inakupunguzia credibility kama rais wetu ajaye. Jirekebishe!
Bora waifungie haiwezekani Kodi tunazochangia zitumike kweny mambo ya kujipendekeza na siasa ,yaan wafungiwe hata kushiriki CAF kabsaaThe actions of Young African Sports Club President, Eng. Hersi, on Aug 12, 2025 at Mlimani City, Dar es Salaam Tanzania publicly contributing, on behalf of the club, to and endorsing a political party @ccm_tanzania, constitute a direct and unequivocal breach of the FIFA Code of Ethics, specifically:
•Article 14 – Duty of Neutrality
•Article 19 – Conflicts of Interest
These rules strictly prohibit football officials from engaging in political activities or using their position to promote political interests.
Yanga wana haki yakuchangia popote wanapopaonapa panafaa na wala hawafungamani na upande wowote, ikiwa wewe kama kiongozi wa familia ukachagia yanga haimanishi nyumba nzima ni wana yanga.Yanga ni taasisi watu wanatakiwa wajue hili ndani ya taasisi kuna mashabiki na watu aina tofauti-tofauti
Mfano
Kwa tukio la ajana mtu anakuambia ana-hama Yanga ni jambo la ajabu sana
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Waislamu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni Wakristo
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wapagani
- Kuna mashabiki wa Yanga ni wachawi
- Kuna mashabiki wa dini ya ki-hindu
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CCM,
- Kuna mashabiki wa Yanga ni CHADEMA
- Kuna mashabiki Yanga hawana chama
Shuhuli nyingi za Yanga mara nyingi ni mashehe wanatoa dua ila huwezi kuta mchungaji wa dhehebu lolote lile au hata padre mbona sisi wakristo hatujahama timu
Siku ukiingia uongozi wa Yanga unaoaffiliate na act, chadema, au chauma basi utajifungamanisha na hivyo vyama, kama ilivyo sasa uongozi uliopo umejifungamanisha na ccm ilo liko wazi sasa nashangaa watu waliokasirika na kuama timu hawajafikiria kwa mapana
Hizi timu zinamambo mengi ya ajabu na yataendelea kuwepo
Mimi sio mshabiki wa ccm ila siwezi hama timu eti kwa sababu yanga kachangia ccm
Umenena vema watu wengi sana wanaweka hisia na sio uhalisiaYanga wana haki yakuchangia popote wanapopaonapa panafaa na wala hawafungamani na upande wowote, ikiwa wewe kama kiongozi wa familia ukachagia yanga haimanishi nyumba nzima ni wana yanga.
Dunia huwezi mrizisha kila mtu