Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Timu yeyote lazima ijengwe na watu wazito, wenye influencing power kubwa jamii ......hii ndio bodi ya wadhamini iliochaguliwa .....hii ndiyo maana halisi ya timu ya wananchi
Mheshimiwa bi Fatma karume
Mh. George mkuchika
Mh. Dr mwigulu nchemba
Mh. Anthony mavunde
Mh Abas Tarimba
Sasa nyie endelezeni kuwachagua kina kitale tundamani na mwijaku[emoji23]
Mheshimiwa bi Fatma karume
Mh. George mkuchika
Mh. Dr mwigulu nchemba
Mh. Anthony mavunde
Mh Abas Tarimba
Sasa nyie endelezeni kuwachagua kina kitale tundamani na mwijaku[emoji23]