Kamati ya siasa ya Ccm in back ground.Timu yeyote lazima ijengwe na watu wazito, wenye influencing power kubwa jamii ......hii ndio bodi ya wadhamini iliochaguliwa .....hii ndiyo maana halisi ya timu ya wananchi
Mheshimiwa bi Fatma karume
Mh. George mkuchika
Mh. Dr mwigulu nchemba
Mh. Anthony mavunde
Mh Abas Tarimba
Sasa nyie endelezeni kuwachagua kina kitale tundamani na mwijaku[emoji23]View attachment 2667364
Kwa hiyo madem wa Yanga mnajiona ninyi ni zaidi ya madem wa Simba na wale madem Azam wenye damu za Oman?Yanga Ina Kila kitu mkuu hata madem wa yanga ni wakali balaaa. Shoo zetu wanayanga kitandani hazifananishwi na kenge yoyote yule.
Uyo ni bonge la demu wa Yanga queens.Yanga Ina Kila kitu mkuu hata madem wa yanga ni wakali balaaa. Shoo zetu wanayanga kitandani hazifananishwi na kenge yoyote yule. Yanga bot pale wadau kama wote. Hatuna idadi kubwa ya wasaka ajira na wasiokuwa na kazi. Ndo mana mitandaoni hutuoni sana kuchangia changia
Walikuwa live Azzam, Engineer ameshafunga mkutano .Wanaonyesha TV gani au Link ipi nipo kwa road.
Mama jYanga Ina Kila kitu mkuu hata madem wa yanga ni wakali balaaa. Shoo zetu wanayanga kitandani hazifananishwi na kenge yoyote yule. Yanga bot pale wadau kama wote. Hatuna idadi kubwa ya wasaka ajira na wasiokuwa na kazi. Ndo mana mitandaoni hutuoni sana kuchangia changia
Asha baraka Vs mwigulu nchemba
Dancer. Vs waziri wa maokoto
Kwa Fatima karume Ni big nowwTimu yeyote lazima ijengwe na watu wazito, wenye influencing power kubwa jamii ......hii ndio bodi ya wadhamini iliochaguliwa .....hii ndiyo maana halisi ya timu ya wananchi
Mheshimiwa bi Fatma karume
Mh. George mkuchika
Mh. Dr mwigulu nchemba
Mh. Anthony mavunde
Mh Abas Tarimba
Sasa nyie endelezeni kuwachagua kina kitale tundamani na mwijaku[emoji23]View attachment 2667364
Ha po
Kwa Fatima karume Ni big noww
JF imejaa wajinga wengi, Karume ndiye aliyetowa pesa za Kujenga makao makuu ya Jangwani na makao makuu ya Simba Msimbazi.Hatufai huyo Fatma karume
Na wewe unafuata huu mkumbo, Fatma Karume ni mjumbe wa bodi ya Wadhamini tangu wakati Manji akiwa Mwenyekiti.Ngoja aendeleze sera za ugasho huko kwny timu pendwa