Yanga Ina watu wazito, hii ndo bodi ya wadhamini waliochaguliwa

Simba walifikiria kwa kichwa au nn hadi wakati fulani Mwijaku eti awe msemaji wa Simba? ๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค
 
Yanga tuna visu mzee.. ushawai muona Bantu Lady Kalpana Antonnia kama malaika haoo ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.. huyo umemuweka mcheza mpira sio mrembo
Mjombba kwa kutujazaaa auntie zako sasa utadhani tuna hio mizigo mweh!๐Ÿ˜Š!

Maua yako yakufikie popote uliipooo๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
 
Kati ya hao hakuna mwenye sifa ya uadilifu isipokuwa no. 1 kwa sababu ya uzee. Nchi hii bado tunatukuza mafisadi
Tunatukuza sana wanasiasa. Hata misibani akitokea mwanasiasa tunasema Bw. Fulani Mkuu wa Mkoa ameongoza msiba. Tunadhani the only capable, inteligent and dignified people ni wanasiasa.

Sasa Waziri wa Fedha ana muda gani wa kushughulika na Yanga zaidi ya kukuza umaarufu wake na sisi tunamkubali tu kama majuha kwa sababu ya name recognition yake japo ni very unpopular.

Fatma Karume ametetea mkataba wa Bandari ambao ni very unpopular kwenye jamii lakini hajawa tarnished. Vichwa vya samaki vya jamii hii.
 
Naona hakunaaa yani kumepoaa sio kidogo!!
Navenye Stivulimkaanga mzima mzima najua hana hamuuuu๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š!!
Eti navenye nilimkaanga mzima mzima.. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ yaniii jamani nimecheka mno..ila alituacha vibaya sana Sisy...
 
Simba walifikiria kwa kichwa au nn hadi wakati fulani Mwijaku eti awe msemaji wa Simba? [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Tatizo menejiment ni Mbu mbu mbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ