DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Netball??? Wanaume
Mamiyake 🤣
Tusubiri tuone ila watapendeza sana na vile visketiWametukosea sana
Hayo majina
Aliposema umeacha ushabiki wengi tulifurahi maana tulijua wapuuzi wanapungua JF.Inaonyesha Yanga msimu huu imeamua kuenzi michezo yote iliyopo katika nembo yao.
Baada ya pambano la ndondi la kukata na shoka kati ya Kibwana Shomari na Denis Nkane, sasa hivi klabu hiyo inaandaa mechi ya netball itakayowahusisha wachezaji wake. Inasemekana wachezaji wamegawanywa pande mbili, kutakuwa na kambi ya Kouma na ya Mwamnyeto.
Ewe mwananchi, wewe ni Kouma au Mwamnyeto?
Hujawahi kunusa hata harufu ya sare katika mechi tano zilizopita,hiyo nguvu unayotumia kutangaza chuki na matusi kwa watu waliokukung`uta mara tano mfululizo sijui umezitoa wapi.
Sasa matusi yapo wapi hapo bandugu? Hii ni taarifa rasmi na wananchi wengi wameipokea vizuri maana ni njia nzuri ya kuenzi michezo yote ya klabu. Mimi nadhani ni wazo zuri sana na tuliunge mkono.dar es salaam young african ni timu ya michezo mingi. sijaona shida ya kuandaa mchezo huo. kutumia majina ya watu wengine kama matusi ni kutweza utu na utamaduni wa watu.
Sisi ndio mafundi wa hizi mamboSasa matusi yapo wapi hapo bandugu? Hii ni taarifa rasmi na wananchi wengi wameipokea vizuri maana ni njia nzuri ya kuenzi michezo yote ya klabu. Mimi nadhani ni wazo zuri sana na tuliunge mkono.
Yanga sasa na ccm wanafanana kabisa tabia,ni kama mama na baiskeli zake.dar es salaam young african ni timu ya michezo mingi. sijaona shida ya kuandaa mchezo huo. kutumia majina ya watu wengine kama matusi ni kutweza utu na utamaduni wa watu.
Ipo netball ya wanaume inaitwa fast fiveNetball??? Wanaume
Mamiyake 🤣