Yanga inaendeshwa kihuni

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Na huu ndo uhalisia uliopoi

•Matumizi ya Yanga yanatia mashaka kidogo,timu ina ratiba nyingi zisizokuwa na faida ..mfano kugawia supu mashabiki kisa kuifunga simba ni matumizi mabaya ya hela , kubandika mabango ya matokeo mtaani ni gharama za kujitakia mwisho wa siku timu inatumia fedha kuliko zilizoingia msimu mzima.

•Mikataba ya wachezaji na malipo ina makando kando , juzi ilikuwa Fei leo Aziz Ki . inasikitisha mchezaji wa muhimu kwenye kikosi hajalipwa mpaka sasa ila viongozi wameingia gharama kubwa ya mshahara kwa mchezaji kikongwe Chama

Aziz Ki akiondoka wa kulaumiwa ni viongozi
 
Mkurupuko huu.

Una reference ya unacho kizungumza?Propaganda za kitoto,jiandaeni msimu kwani mnakocha mpya na timu mpya,msipokuwa wavumilivu mtaanza kelele.
 
Sahivi unafikiri wanayaona hayo? Wamelewa pombe unaitwa hersi kila anachoshika kinageuka dhahabu

Sasa ipo hivi. Tajiri ameshapata alichokitaka pale utopoloni maana biashara ya magodoro, jezi na bidhaa nyingine za gsm mauzo yame dabali. Ndio mana unaona ameanza kupunguza bajeti Leo hii tajiri sio wa kushindwa kumretain key aziz au feitoto au mayele. Tajiri ameanza kuona uchungu wa pesa yake.

Hayo ya kuongozwa kihuni watawnza kutaona pombe ya ulevi hersi ikishawaisha. Ndio mana Wana hofu kuu na usajiri wa Simba na Mo kurudi kazini pale Simba.
 
Tuache na timu yetu.
.
 
Z
Zakooooo pambanaaa unyweshee na wewe familiaayakoooo
 
Hizi kelele kazitumie kumtoa Mangungu
 
Ukiwa unalalamika hivi ni muhimu pia ukaweka picha hapa ya Kadi yako ya Uanachama Ili tuone kweli anayelalamika ni mwanachama kindaki ndaki wa Yanga!

Tofauti na hapo wewe ni mpiga Zomari tu huko vijiweni usiyekuwa na faida yeyote katika timu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…