Na huu ndo uhalisia uliopo
View attachment 3037613i
•Matumizi ya Yanga yanatia mashaka kidogo,timu ina ratiba nyingi zisizokuwa na faida ..mfano kugawia supu mashabiki kisa kuifunga simba ni matumizi mabaya ya hela , kubandika mabango ya matokeo mtaani ni gharama za kujitakia mwisho wa siku timu inatumia fedha kuliko zilizoingia msimu mzima.
•Mikataba ya wachezaji na malipo ina makando kando , juzi ilikuwa Fei leo Aziz Ki . inasikitisha mchezaji wa muhimu kwenye kikosi hajalipwa mpaka sasa ila viongozi wameingia gharama kubwa ya mshahara kwa mchezaji kikongwe Chama
Aziz Ki akiondoka wa kulaumiwa ni viongozi