OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kipa ambaye hakucheza mechi 16 alidakishwa mechi ya Yanga, ila mechi iliyofuata ya Mashujaa kipa namba moja akarudi kazini. Sababu za huyo kipa kutodaka mechi ya Hanga hazijulikani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnataka mfungwe nyingi nyie tu kila siku wengine wasipate utamu wa goli ✊View attachment 3188466
Kipa ambaye hakucheza mechi 16 alidakishwa mechi ya Yanga, ila mechi iliyofuata ya Mashujaa kipa namba moja akarudi kazini. Sababu za huyo kipa kutodaka mechi ya Hanga hazijulikani
Maduka mliyoyasajili yanajuaKwahiyo Kamchezo kalifanyika kati ya Yanga na Dodoma Jiji?
.......Vipi Siku ile Simba inakula vitasa 5 - 1
Simba wakiwa Home [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Golikipa alikuwa Nani?
Huyo golikipa alicheza mechi zipi za karibuni kabla hajaichezea Simba siku ile?
Pumbafu [emoji849][emoji849][emoji849]
Fikiri kwanza kabla ya kuandika.
YANGA NI TIMU BORA SANA DUNIANI [emoji28]
Wivu unawasumbua sana Simba 😁Mnataka mfungwe nyingi nyie tu kila siku wengine wasipate utamu wa goli ✊
Kiukweli huyu jamaa ni jiwe la miaka ya 1972😂😂😂Vpi yule beki wa kolo ...aliejifunga
Kiukweli ni kuwa bado hamjasema [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mapema sana kutoa milio ndugu Makolo View attachment 3188745
Nakazia Mkuu.Mods unganisheni nyuzi zote za malalamiko [emoji13]
Hahahahaaa. Kwa kweeeli.Mnataka mfungwe nyingi nyie tu kila siku wengine wasipate utamu wa goli ✊
Mbona Msheri hajacheza kwa karibu miaka miliwli lakini sasa anabana kama kawa? Clean Sheet tatu za Msheri mpaka sasa hivi.View attachment 3188466
Kipa ambaye hakucheza mechi 16 alidakishwa mechi ya Yanga, ila mechi iliyofuata ya Mashujaa kipa namba moja akarudi kazini. Sababu za huyo kipa kutodaka mechi ya Hanga hazijulikani
Aaaah Mwasibu CPA uchwara SUNZU BOBAN ovyo kabisa umerudi tena.View attachment 3188466
Kipa ambaye hakucheza mechi 16 alidakishwa mechi ya Yanga, ila mechi iliyofuata ya Mashujaa kipa namba moja akarudi kazini. Sababu za huyo kipa kutodaka mechi ya Hanga hazijulikani
Mkuu umeshauri vizuri tu juu ya kupata mbadala wa Khomeini.Mbona Msheri hajaceza kwa karibu miaka mwiliwli lakini sasa anabana kama kwa? Clean Sheet tatu za Msheri mpaka sasa hivi.
hata hivyo ningependa Yanga imrudishe Metacha Mnata imtoe Khomeini kwa makopo ajijenge upya. Metacha alifurahisha sana Lubumbashi wakati wa Confederation kwa jinsi alivyowazibia TP Mazembe wakati Diarra hayupo. Hata kule Singinda ameonyesa ubora wake sana.