Yanga inalindwa kama Benki na timu marafiki

Yanga inalindwa kama Benki na timu marafiki

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Kipa ambaye hakucheza mechi 16 alidakishwa mechi ya Yanga, ila mechi iliyofuata ya Mashujaa kipa namba moja akarudi kazini. Sababu za huyo kipa kutodaka mechi ya Hanga hazijulikani
 
Nyie mbona yule spider wenu sikuile aliurudisha mpira tukafunga!.
huwa hamkubali ubora wa yanga mpk mkutane nao nyinyi wenyewe ndo ukamilike ule usemi wa "kusikia kwa kenge mpaka damu imtoke puani!".
 
Kwahiyo Kamchezo kalifanyika kati ya Yanga na Dodoma Jiji?
.......Vipi Siku ile Simba inakula vitasa 5 - 1
Simba wakiwa Home 😅 😅 😅
Golikipa alikuwa Nani?
Huyo golikipa alicheza mechi zipi za karibuni kabla hajaichezea Simba siku ile?
Pumbafu 🙄🙄🙄
Fikiri kwanza kabla ya kuandika.
YANGA NI TIMU BORA SANA DUNIANI 😅
 
Kwahiyo Kamchezo kalifanyika kati ya Yanga na Dodoma Jiji?
.......Vipi Siku ile Simba inakula vitasa 5 - 1
Simba wakiwa Home [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Golikipa alikuwa Nani?
Huyo golikipa alicheza mechi zipi za karibuni kabla hajaichezea Simba siku ile?
Pumbafu [emoji849][emoji849][emoji849]
Fikiri kwanza kabla ya kuandika.
YANGA NI TIMU BORA SANA DUNIANI [emoji28]
Maduka mliyoyasajili yanajua

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Vpi yule beki wa kolo ...aliejifunga

Kiukweli ni kuwa bado hamjasema [emoji23][emoji23][emoji23]

Ni mapema sana kutoa milio ndugu Makolo
1730228326514.jpg
 
Mjua bana Makolo hamkutegemea kama Wananchi tungeinuka tena. Na hapa ndo shida ilipianzia.

Yaani mmefikia hatua kila tunapocheza mpo makini kuangalia vile ambavyo hata haviwahusu.

Sasa mabadiliko wafanye mashujaa we kolo unataka kujua sababu zinakuhusu nini? Teh teh.
 
View attachment 3188466
Kipa ambaye hakucheza mechi 16 alidakishwa mechi ya Yanga, ila mechi iliyofuata ya Mashujaa kipa namba moja akarudi kazini. Sababu za huyo kipa kutodaka mechi ya Hanga hazijulikani
Mbona Msheri hajacheza kwa karibu miaka miliwli lakini sasa anabana kama kawa? Clean Sheet tatu za Msheri mpaka sasa hivi.

hata hivyo ningependa Yanga imrudishe Metacha Mnata imtoe Khomeini kwa mkopo ajijenge upya; isimwache. Metacha alinifurahisha sana Lubumbashi wakati wa Confederation kwa jinsi alivyowazibia TP Mazembe wakati Diarra hayupo. Hata kule Singinda ameonyesa ubora wake sana.
 
Mbona Msheri hajaceza kwa karibu miaka mwiliwli lakini sasa anabana kama kwa? Clean Sheet tatu za Msheri mpaka sasa hivi.

hata hivyo ningependa Yanga imrudishe Metacha Mnata imtoe Khomeini kwa makopo ajijenge upya. Metacha alifurahisha sana Lubumbashi wakati wa Confederation kwa jinsi alivyowazibia TP Mazembe wakati Diarra hayupo. Hata kule Singinda ameonyesa ubora wake sana.
Mkuu umeshauri vizuri tu juu ya kupata mbadala wa Khomeini.
Lakini Huyo Metacha ni golikipa mpuuzi sana. Ana masihara sana awapo golini.
Si Mtu serious sana na kazi yake.
Ni Heri Yanga itafute mbadala wa Diara.
Unatoa jiwe....unaweka jiwe.
Metacha na Khomeini watafutiwe kazi nyingine wafanye.
 
Back
Top Bottom