YANGA INAMATATIZO SANA

YANGA INAMATATIZO SANA

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Hizi ndio changamoto zinazowakabili yanga kwa Sasa
1.uongozi
Kiukwel tokea yanga wachague viongozi wapya wa timu wameshindwa kabisa kuhandle timu pamoja na kueleza malengo ya wazi kwa msimu huu kwa mashabiki wao.Mtu Kama yondani,Dante na jumapili Abdul wamekuwa wakidai malipo yao lakini hawalipwi kwa muda muafaka wakati ni key players wa club lakini pia wameshindwa kumcontrol mwinyi zahera na kuonekana mwinyi zahera ni mkubwa kuliko team wakati sio sahihi na hii imechangiwa na zahera kwenda likizo kwa muda anataka yeye na kurudi anavyotaka yeye so why imechelewesha maandalizi mazuri ya team.

2.Mwinyi zahera
Kitendo chake kutopanga kikosi chake anachoamini ili kujiandaa na team ya township rollers kwa mujibu yake dhidi ya polisi nimeshindwa kumuelewa vizuri cos moja ya mapungufu yalijitokeza mechi ya kwanza dhidi ya township rollers ni kukosekana chemistry ya team pamoja na individual mistake so nilitegemea have anapanga kikosi anachoamini yeye kwenye mechi hizi zakirafiki ili atengeneze chemistry na kusahihisha makosa ya team ili wawe ktk wakati mzuri watapokutana na township rollers mechi ya pili lakini amekuwa akabadilisha kikosi Mara kwa Mara kiasi inauwa rythm ya team.

NB: ili team ya yanga ifanye vizuri inatakiwa pia itoe malengo ya team kwa msimu huu ili iwe rahisi kumuhukumu zahera alishindwa kutimiza kuliko kukaa kimya Sasa hivi unashindwa kumukumu zahera cos ujui malengo ya team iwapo zahera skatolewa mapema caf champion league au pia akishika nafasi ya tatu na akaendelea kufundisha yanga huwezi kumjudge cos ujui wamekubaliana Nini na uongozi?
 
Ngojea povu,,

Hapo wanafikiri cha kuandika [emoji16][emoji16]
 
Tuacheni na Yanga yetu.
 
Wewe mbumbumbu unaijulia wapa yanga wewe...

Fanyeni mambo yenu bana yanga ipo pale pale,daima mbele nyuma mwiko
 
Hizi ndio changamoto zinazowakabili yanga kwa Sasa
1.uongozi
Kiukwel tokea yanga wachague viongozi wapya wa timu wameshindwa kabisa kuhandle timu pamoja na kueleza malengo ya wazi kwa msimu huu kwa mashabiki wao.Mtu Kama yondani,Dante na jumapili Abdul wamekuwa wakidai malipo yao lakini hawalipwi kwa muda muafaka wakati ni key players wa club lakini pia wameshindwa kumcontrol mwinyi zahera na kuonekana mwinyi zahera ni mkubwa kuliko team wakati sio sahihi na hii imechangiwa na zahera kwenda likizo kwa muda anataka yeye na kurudi anavyotaka yeye so why imechelewesha maandalizi mazuri ya team.

2.Mwinyi zahera
Kitendo chake kutopanga kikosi chake anachoamini ili kujiandaa na team ya township rollers kwa mujibu yake dhidi ya polisi nimeshindwa kumuelewa vizuri cos moja ya mapungufu yalijitokeza mechi ya kwanza dhidi ya township rollers ni kukosekana chemistry ya team pamoja na individual mistake so nilitegemea have anapanga kikosi anachoamini yeye kwenye mechi hizi zakirafiki ili atengeneze chemistry na kusahihisha makosa ya team ili wawe ktk wakati mzuri watapokutana na township rollers mechi ya pili lakini amekuwa akabadilisha kikosi Mara kwa Mara kiasi inauwa rythm ya team.

NB: ili team ya yanga ifanye vizuri inatakiwa pia itoe malengo ya team kwa msimu huu ili iwe rahisi kumuhukumu zahera alishindwa kutimiza kuliko kukaa kimya Sasa hivi unashindwa kumukumu zahera cos ujui malengo ya team iwapo zahera skatolewa mapema caf champion league au pia akishika nafasi ya tatu na akaendelea kufundisha yanga huwezi kumjudge cos ujui wamekubaliana Nini na uongozi?
Umejitahidi sana kuandika ukweli. Ila kwa uongozi dosari si nyingi sana. Hapo kwa kocha na upangaji Wa timu ktk mechi za mashindano na za kirafiki ni kweli sana.
 
Hata mimi nimempigia sana makelele huyo jamaa!Yaani sijajua kama Mwinyi Zahera ana cheo cha ukocha tu pale Yanga, au ni zaidi ya ukocha!
Haiwezekani awe juu ya timu na kujiamulia apendavyo, halafu viongozi wanamuangalia tu!

Jamaa ana majungu sana na ni mtu wa kulalamika tu muda wote. Viongozi walitakiwa kumuwekea utaratibu wa timu kushinda na pia aina ya makombe ya kuchukua! Akishindwa kutimiza matakwa ya timu, mkataba wake utenguliwe. Usajili wa wachezaji aliowataka umekamilika, lakini bado analia lia tu.
 
"Wewe mbumbumbu unaijulia wapa yanga wewe...

Fanyeni mambo yenu bana yanga ipo pale pale,daima mbele nyuma mwiko" from Pulisic CFC

Ona sasa [emoji121]
 
sisi wanayanga tumeridhika na timu yetu , nyie simba chukueni hata makombe yote , la AFRICA, ULAYA, HATA KOMBE LA DUNIA CHUKUENI tuachieni yanga yetu
 
Ila leo nimemwelewa Zahera kwa nini alipanga kikosi kile ile juzi.
Leo baada ya mechi kasema kuja moshi na arusha ni kupoteza muda, akasema tumeacha kufanya program za kujiandaa na Township rolers tunapoteza tu muda uku. Maneno ya Zahera hayo.
Mwisho nikagundua kua kumbe kwenda moshi na arusha sio mpango wa kocha ni program ya uongozi wa Yanga.
Kama niuongozi wa Yanga lengo lilikua nini kwenda uko wakati wanamechi ya kimashindano. Au bakuli linaendelea
 
Kwa Lugha nyepesi ni kuwa ‘Papaa’ Zahera hafurahishwi na aina ya maamuzi ya Viongozi wake kuhusu maandalizi ya timu.

Sidhani kama ni busara kwa yeye kulisemea lile hadharani, kwa maana nyingine anataka ‘Huruma’ ya mashabiki huku akiwachonganisha na Viongozi wa timu na Mashabiki wao.
 
Zahera mchonganishi na hii ni gharama watakayoipata viongozi wa yanga kwa vile walishakosea wenyewe kwa kumshirikisha ktk mambo ya kiutawala,sasa lazima watalipa.
Jamaa anajitoa ina maana kama watafungwa na rollers yatakuwa makosa ya uongozi kwa kumuharibia program zake,itakuwa sio usajili mbovu na kuchelewa kwake.
Hatari sana,kocha mjanjamjanja
 
Back
Top Bottom