Hizi ndio changamoto zinazowakabili yanga kwa Sasa
1.uongozi
Kiukwel tokea yanga wachague viongozi wapya wa timu wameshindwa kabisa kuhandle timu pamoja na kueleza malengo ya wazi kwa msimu huu kwa mashabiki wao.Mtu Kama yondani,Dante na jumapili Abdul wamekuwa wakidai malipo yao lakini hawalipwi kwa muda muafaka wakati ni key players wa club lakini pia wameshindwa kumcontrol mwinyi zahera na kuonekana mwinyi zahera ni mkubwa kuliko team wakati sio sahihi na hii imechangiwa na zahera kwenda likizo kwa muda anataka yeye na kurudi anavyotaka yeye so why imechelewesha maandalizi mazuri ya team.
2.Mwinyi zahera
Kitendo chake kutopanga kikosi chake anachoamini ili kujiandaa na team ya township rollers kwa mujibu yake dhidi ya polisi nimeshindwa kumuelewa vizuri cos moja ya mapungufu yalijitokeza mechi ya kwanza dhidi ya township rollers ni kukosekana chemistry ya team pamoja na individual mistake so nilitegemea have anapanga kikosi anachoamini yeye kwenye mechi hizi zakirafiki ili atengeneze chemistry na kusahihisha makosa ya team ili wawe ktk wakati mzuri watapokutana na township rollers mechi ya pili lakini amekuwa akabadilisha kikosi Mara kwa Mara kiasi inauwa rythm ya team.
NB: ili team ya yanga ifanye vizuri inatakiwa pia itoe malengo ya team kwa msimu huu ili iwe rahisi kumuhukumu zahera alishindwa kutimiza kuliko kukaa kimya Sasa hivi unashindwa kumukumu zahera cos ujui malengo ya team iwapo zahera skatolewa mapema caf champion league au pia akishika nafasi ya tatu na akaendelea kufundisha yanga huwezi kumjudge cos ujui wamekubaliana Nini na uongozi?