Yanga inamuhitaji sana mtu kama Magufuli (mtu asiyeogopa watu hata kwa ubabe mambo yaende)

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau.

Mimi mshabiki wa yanga kiukweli mwenendo wa timu unanikwaza, hasa viongozi wakina Msolla na Mwakalebela.

Ninatamani kiongozi mwenye Magufuli mentality aje aiongoze Yanga.
 
Mpira una principles zake! Magufuli akafanye nini Yanga? Ondoa mizigo weka watu wa mpira.
 
Kinachowaumiza Yanga ni kuperform vizuri kwa Simba,lakini Yanga kama timu mbona wako freshi tu.
Kabla ya Simba kianza kila viporo vyake palikua kimya kabisa,lakini baada ya mnyama kuanza kiuunguruma vuguvugu la lawama zisio na msingi zimeanza ghafla,wakati mkiongoza ligi viongozi ni hawa hawa wasasa.
 
1-1
 
Hii timu tangu aondoke Kocha msaidizi Juma Mwambusi naona wachezaji wanakimbia kimbia tu uwanjani! Mechi ya pili hii timu pinzani inasawazisha goli dk za lala salama!

Yaani ikishapata kagoli kamoja tu, kocha anaingiza wachezaji wa kwenda kukaba badala ya kuongeza washambuliaji!! Nitashangaa sana iwapo huyu mwalimu atadumu mpaka mwisho wa msimu kwa mwenendo huu usio ridhisha wa timu.
 
Habari wadau.
Mimi mshabiki wa yanga kiukweli mwenendo wa timu unanikwaza, hasa viongozi wakina Msolla na Mwakalebela.
Ninatamani kiongozi mwenye Magufuli mentality aje aiongoze Yanga.
Football ukilazimisha vitu unafungiwa na FIFA. Kwenye football FIFA wanahimiza fair play, katika kila eneo
 
Back
Top Bottom