Yanga inaongoza ligi ya 8 Afrika

Yanga inaongoza ligi ya 8 Afrika

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
266
Reaction score
393
Timu 54 zinaongoza ligi mbali mbali Africa ila YANGA inaongoza ligi ya nane afrika. Ni kwa mujibu wa taasisi iitwayo ifhs
 
Timu 54 zinaongoza ligi mbali mbali africa ila YANGA inaongoza ligi ya nane afrika. Ni kwa mujibu wa taasisi iitwayo ifhs
Kwa mujibu wa taasisi hiyo ligi imeshuka ni ya 9 na ya 62 duniani ,shukrani kwa simba kwa kuipigania ligi hii inayoongozwa NA TFF YA MCHONGO NA BODI CHAKAVU YA LIGI HUKU IKICHAGIZWA NA MATAPELI WA SOKA WALIO KATIKA KIVULI CHA UDHAMINI MWENZA....
SIMBA NI YA 7 AFRIKA NA YA 98 DUNIANI KWA MUJIBU WA REPORT YA IFFHS YA 23 JANUARY 2020
Screen Shot 2022-01-30 at 3.19.35 PM.png
 
Timu ya wananchi
Ukifika huku unakubaliana na tafiti ya hiyo taasisi siyo? Unadhani ilifikaje hapo namba nane actually mwaka huu ni ya tisa? Unakumbuka nani waliingiza teams 4 mara mbili basi ndiyo haohao waliopandisha ligi
 
ukifika huku unakubalian na tafiti ya hiyo taasisi siyo? unadhani ilifikaje hapo namba nane actually mwaka huu ni ya tisa? unakumbuka nani waliingiza teams 4 mara mbili basi ndiyo haohao waliopandisha ligi
Wapi nimekubaliana?
 
Back
Top Bottom