Yanga inaongozwa kihuni kama kikundi cha singeli

huyo kazumari anajua nini kuhusu mikataba?
 
Huu mkataba umewaumiza sana makolo
 
Wewe na huyo kazumari wako; wote mbumbumbu tu. Mwamedi amejaza matangazo kwenye jezi za timu yenu kwa mkataba mbuzi, wala hulalamiki!

Bilioni 20 mpaka leo zinapigwa tu danadana, kimya! Mbet wanatoa gawio dogo kinyume na matarajio, kimya! Manzoki anahudhuria mkutano mkuu wa timu huku akiwa siyo mwanachama wa klabu! Mnashindwa kuhoji.

Badala yake mnajifanya kuwa na uchungu na mambo yaihusuyo Yanga!! Unafiki wa kiwango cha juu sana huu.
 
Mjomba umeanzisha nyuzi nyingi. kuhusu hii kitu. Umeshakuwa hakimu na mkataba umeshauona yaani..

Tutavaa hizo jezi .. mtake ama msitake
 
Haya Mambo ya Sportpesa na Haier kumbe yalipita Shwaa.

Wanasheria wa humu mkakaa kimya.

Leo nimeiona Haier mgongoni, je wapo NBCPL ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…