Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
I wil be short
Moja ya hatua ambayo inaweza kuwa na manufaa makubwa kwa Yanga SC kwa msimu wa 2025/26 ni kurudi kwenye uwanja wa Azam Complex.
Ukiwa ni uwanja wenye miundombinu na mazingira bora kwa mashabiki ,Mechi za KMCc zina muonekano mbaya sana , uwezi kuenjoy match kwa screen , kama itakuwa poa , Yanga wayaongee tu na Azam FC