Unamaanisha mstaafu kazini Jakaya Kikwete na baba yake HajiNanukuu"upande ule wenye akili ni wawili tu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha mstaafu kazini Jakaya Kikwete na baba yake HajiNanukuu"upande ule wenye akili ni wawili tu"
hana akiliPale Sunderland Kkoo wamepanga ?
na wewe ni mmoja wao kama asemavyo msukule pale utopoloni?Tangu simba wameanza kucheza kimataifa wamepata mafanikio gani hata makao makuu hawana?
Hivi simba inaendeshwa kwa faida?? Mudi mara kibao analalamika kupata hasara! Upo nchi mzee?? Mliuza garasa lenu kule Morocco limekaa wiki 6 tu, limerudi kucheza na kina Dar city!Yanga ni club inaayoendeshwa kwa hasara 99% maana hawafanyi hata biashara ya kuuza wachezaji huwa hawanunuliwi na club zingine ila huwa wanaondoka bure baada ya mkataba kuisha
Nafikiri ni watu wachache tu wenye pesa zao wameamua kuifadhili lakin hakuna faida yoyote wanayopata
mpe ilimi ya msingi ya biashara.Wametumia kiasi gani kwenye mashindano hayo yaliyowapa 3.8bn?
Nauli, kambi, hotels etc..
Wewe umeangalia kwenye angle ya ushabiki.Sina exact figure lakini kwenye bajeti yao ya mwaka kila unapoingia kwenye hatua nyingine inakuwa ni msaada wa kupunguza matumizi yaliyokusudiwa.
Kuna timu zilishiriki na kuondolewa bila kupata chochote licha ya kuingia gharama.Kuna timu hata ilikosa nauli ya kwenda Libya.
Kipato chochote unachopata extra is a bonus regardless ya matumizi uliyo
kwisha panga.
Ukiangalia kwa angle ya ushabiki mimi sipo huko.
Labda kombe la mbuzi.Subiri Yanga tuchukuwe kombe letu halafu mwaka huu tuingie kwenye club bingwa na hiki kikosi cha akina Mayele ndo ataona moto wetu..
Mwakani lazima tufike Nusu Fainali Championship
Maana Sasa mnatumia Hadi uchawi kutaka mtushushe kileleni Ila hamuwezi.Labda kombe la mbuzi.
Yaani umejipinda kuleta hoja utafikiri timu ya Simba imeundwa mwaka 2019 vile. Anza kuhoji kwanza timu yako je wakiachana na miaka ambao inahesabika kwa kufika robo michuano ya kimataifa. Je kipindi ambacho hawakufika huko hawakusajili? Je usajili waliofanya umewapa vipi faida?Moja kati ya nguzo kuu za mpira wa sasa ni kucheza mashindano ambayo yatakuwa yanaisaidia club kujiendesha pasipo kutegemea sana kupitisha mabakuli kwa matajiri na wadhamini ndio maana ulaya kocha anaweza akafukuzwa sababu ya kutolewa uefa kizembe au kutofuzu kabisa huwa inachukuliwa kama hasara kubwa kwa timu.
Kwa muda mrefu yanga wamefocus sana kwenye makombe ya ndani ambayo hayana pesa wala faida ya maana, ligi kuu ukichukua ubingwa ile pesa wanayolipwa kama zawadi unaweza kuta ni mshahara wa mayele tu wa miezi kadhaa sasa hebu fikiria club nzima itajiendeshaje kwa pesa ile maana ni ndogo sana
Nilitegemea yanga kwa kikosi kile now ingekuwa robo fainal CAF maana naona ligi ya ndani wapo vizuri sana ila CAF kama kuna pepo sijui maana kila yanga ikinusa CAF basi makundi ndio mwisho wao
Ila CAF kuna pesa, simba ilipovuka robo fainali mara kwa mara walikuwa wakipata bilioni 1 na ushee na juzi naskia wamepata milioni 800
Tukubali ukweli Yanga inahitaji kujiongeza sana kwenye mashindano ya kimataifa maana ligi za ndani mtaishia kuendesha Club kwa majashoo ya wadhamini na masponsa wa Gsm wakati kile kikosi kina uwezo wa kupambana kimataifa na mkachota pesa ndefu ambayo itasaidia kwenye uendeshaji wa Club
Najua mtakuja kuniita makolo ila timu inatakiwa ibadilike sana maana mnapata wachezaji wazuri lakini hamuwatumii vizuri kimataifa wawaingizie pesa, Mtu kama mayele mnaweza mkawa nae msimu na msimu ujao matajiri wakampandia dau akaondoka na ukiangalia mmemtumia vyema ligi ya ndani tu kimataifa hampo.
Hizo ngonjera za sisi mabingwa wa mara nyingi halafu mnafaidika nini?Kupigwa nje ndani na timu mbovu kama Rivers United ndio cha kujivunia?Kwahyo na hili kombe tunaloenda kunyanyua kwapa tarehe 30 April baada ya kuwapakuwa pale kwa Mkapa litakuwa kombe la mbuzi ety..
Maana Sasa mnatumia Hadi uchawi kutaka mtushushe kileleni Ila hamuwezi.
Sisi ndo Mabingwa mara nyingi wa nchi hii
Watakupiga maweYanga ni club inaayoendeshwa kwa hasara 99% maana hawafanyi hata biashara ya kuuza wachezaji huwa hawanunuliwi na club zingine ila huwa wanaondoka bure baada ya mkataba kuisha
Nafikiri ni watu wachache tu wenye pesa zao wameamua kuifadhili lakin hakuna faida yoyote wanayopata
Narudia tena SS ni Mabingwa mara nyingi Tz hii hakuna lol ikolonlolote Lina Lowes kutufikia SS kwa ubingwa na Mwaka huu tar 30 April tunaenda kutangaza ubingwa mwingine mgongoni kwa Makolo FC a.k.a Manyaunyau FC.. ss ndio wanaume wa nchi hii hakuna mwingine,, tunaenda kuwafunga Makolo Timu ambayo tumeifunga maraaaaaaaaa nyiiiiiiiiiiiiiiingi kuliko Timu yoyote Dunia hiiHizo ngonjera za sisi mabingwa wa mara nyingi halafu mnafaidika nini?Kupigwa nje ndani na timu mbovu kama Rivers United ndio cha kujivunia?
Miaka mnayochukua ubingwa na kuwakilisha Nchi mnaiishia kutia aibu Nchi.
Yanga hawajawahi kumiliki akili.Simba ilifika nusu fainali ya Klabu bingwa ya Afrika mwaka 1974.
Na ikafika tena fainali ya kombe la Wawakilishi 1993.
Kwa hiyo usifikiri mafanikio hayo yameanza 2019.
Au umeanza kufuatilia mpira 2019?