Yanga inapoingia kipindi cha pili ni hatari mno!!!!!

Mimi ni mwananchi, ila kuna wakati huwa ninaiogopa hii timu eti! Hivi sijawapatia wale mashabiki wa ile timu ya Mzee Kilomoni, huwa wanajisikiaje timu yao ikicheza na Yanga.
 
Kimataifa ni igweeeeeee.Vipers utd au Rivers utd waliona moto wa Yanga ya kipindi cha pili.
 
Jamani acheni kuwapaisha Yanga kwa kuwafunga hao Wanubi, hapa Tanzania hata kwenye timu za first division Yanga hawezi kufunga mabao hayo yote.

Kama mnaisifia Yanga kuwafunga hao Wanubi ambao hawana uwanja wa kuchezea mashindano ya CAF huko kwao basi kuna hatari kubwa ya kuiponza Yanga nao wakivimba kichwa halafu baadaye kwenye raundi ijayo wapasuke.

Vv
 
upo mzee?
 
Back
Top Bottom