Naona kabisa kuna watu matumbo yashaanza kuuma kwa maumivu, hawawezi kusema lakini wana hofu kubwa mioyoni mwao juu ya Yanga hii inayorudi kwa kasi ya kimondo!
Yanga wanautwanga, wanakasi, wanagusa, wanaachia, wanakuja kwako. Ni mabadiliko makubwa ambayo kocha Ramovich ameanza kuyaonyesha. Timu inakaba kwa pamoja na inashambulia kwa pamoja.
Tunawatahadhalisha wale mbumbumbu waliokuwa wameumaliza maneno baada ya kuyumba kwa Yanga waendelee kuufyata pia kwa sasa. Maana, wakati waliposhindwa, zile kelele za GSM anaharibu ligi hazikusikika tena!
Unagongwa chuma za kutosha na mpira unaonekana!