Tukubaliane tu Hizi mechi mbili za Simba na Yanga sio kipimo halisi cha ubora wa simba na Yanga.Acha kuwashtua vijana wa Rage. Bado wako usingizini.
Wakati timu yako ya Simba imemfunga Jkt goli la Asante refa mbona ukusema icho unachokisema?Tukubaliane tu Hizi mechi mbili za Simba na Yanga sio kipimo halisi cha ubora wa simba na Yanga.
Yes point 3 ni za kushangilia kwa sababu tu kwenye title race lakini sio za kuisemea team imeimarika
Kagera,Kengold,dodoma Jiji na Tanzania Prison sio team za kuipa ushindani Simba au Yanga.
Al hilal ndio wamekuwa furaha yenu pamoja na Tabora united,,kwenye maisha Kuna kuanguka kisha unainuka unasimama unaendelea na safari,,yanga walianguka sasa wameinuka na wanasonga mbele kibabe ivyo mavi ya kale ayanuki!Kwahiyo mpo tayari tuwaite Watu weusi (Al Hilal)
Mimi najua mpira na nimeyasema yote hayo kwenye andiko langu la jana.Wakati timu yako ya Simba imemfunga Jkt goli la Asante refa mbona ukusema icho unachokisema?
🚮🚮🚮🚮HATUWEZI KUSHINDANA WALA KUJIBIZANA NA MASHABIKI WA TIMU INAYOGOMBANIA NAFASI NA KENGOLD.
SISI TUNAONGOZA LIGI SO TUNAONGEA NA WAKUBWA WENZETU WANAOONGOZA LIGI KAMA LIVERPOOL,BAYERN MUNICH,PSG,AL HILAL N.K
TIMU KAMA YANGA,KENGOLD,PAMBA,TANZANIA PRISONS AMBAZO ZINAGOMBANIA KUTOKUSHUKA DARAJA INABIDI WAKUTANE CHINI YA MUEMBE WAPEANE USHAURI ILI WASISHUKE DARAJA.
Mtasubiri sana [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Makolo hawajawahi kosa la kusema wakizidiwa kiwango, subiri Yanga ika pale juu.