Yanga inashuka viwango siku kwa siku!

Yanga inashuka viwango siku kwa siku!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Juzi tu hapa Nkane, Mdathir, Sureboy, Farid Mussa, Moloko, Kibwana, Walikuwa ni wachezaji hatari sana hata kama walikuwa wanatokea Sub, ukianza kuhesabu magoli ya ushindi au perfomnce zao bora hapa hutoacha kukumbuka.

Nkane aliipatia Yanga goli la kuwapa Taji la ASFC 2021/22 , baada ya ku-level Score board 3-3 kisha mikwaju ya penalty ikaamua , Bado Nkane aliendelea kupata nafasi kwenye Kikosi cha Nabi na alikuwa anafanya vyema sana.

Mdathir aliwapatia Yanga goal la Kuongoza dhidi ya Tp Mazembe CAFCC na lile goli lilichukua goli bora la group stage CAFCC, bado alikuwa na kiwango bora sana majuzi juzi.

Sureboy Master, atakumbwa kwa kiwango kizuri alichokionesha kwenye mchezo wa kufuzu Group stage dhidi ya Club African, ugenini lakini mwamba ile match aliwaka sana na bado alikuwa ni mchezaji mzuri sana.

Farid Musa
🙌
Baller anayecheza namba nyingi pale Yanga , Beki wa kushoto , Winger wa kushoto , Middle aliwahi kuwapatia points 3 mhimu Yanga dhidi ya Tp Mazembe ugenini.

Moloko, Moja ya winger nzuri kabisa na hatari sana, aliwahi kuwafungia goal la pili Yanga kwenye mchezo dhidi ya Real Bamako kwa mkapa.

Kibwana Shomary: Si kulia si kushoto kote kote mdogo wangu anakaba na anashambulia ni kweli kazini kwake kuna kazi ila naye ni mzuri matches dhidi ya Dodoma Jiji , matches dhidi ya Al Merrikh ushashinda tayari na umefuzu naye anastahili kucheza.

Ukiifuatilia Yanga ilikuwa ni team ambayo kila mchezaji alikuwa ni hatari kulingana na Sub aliyokuwa anafanyiwa , lakini Yanga ya sasa et hawapati nafasi kinachoendelea ni niniii ? team ya taifa itarudi kule kule tulipo toka hakuna wachezaji wapya watakao itwa maana kibwana sasa hawezi kuitwa maana sub kila match.

Coach wa Yanga ajitathmini na pengine anaweza asifike X-mas au hata mwaka mpya , mwenendo wa Kikosi cha Yanga sasa unafanya Pacome aje achoke sana.

Japo ni coach wenu siwapangii majukumu ila huyu coach atatuulia vipaji vya hawa madogo ni vyema akasepa mapema , utaniambia nini nikuelewe kwamba Farid Musa hana kiwango cha kumpokea Max dakika za jioni?

Tatizo hili COACH CHOYOOO SANA, Yanga ya msimu huu inaweza kuwa ndiyo Yanga nzuri kuishuhudia lakini inakwenda kuharibika.
 
Asante kwa Bandiko la Kabumbu Mkuu.

LEO NIMEJIFUNZA KUPITIA UZI WAKO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
  • Juzi tu hapa Nkane , Mdathir , Sureboy , Farid Mussa , Moloko , Kibwana , Walikuwa ni wachezaji hatari sana hata kama walikuwa wanatokea Sub , ukianza kuhesabu magoal ya ushindi au perfomnce zao bora hapa hutoacha kukumbuka​
  • Nkane aliipatia Yanga goli la kuwapa Taji la ASFC 2021/22 , baada ya ku-level Score board 3-3 kisha mikwaju ya penalty ikaamua , Bado Nkane aliendelea kupata nafasi kwenye Kikosi cha Nabi na alikuwa anafanya vyema sana​
  • Mdathir , Aliwapatia Yanga goal la Kuongoza dhidi ya Tp Mazembe CAFCC , na lile goli lilichukua goli bora la group stage CAFCC , bado alikuwa na kiwango bora sana majuzi juzi​
  • Sureboy , Master , Atakumbwa kwa kiwango kizuri alichokionesha kwenye mchezo wa kufuzu Group stage dhidi ya Club African , ugenini lakini mwamba ile match aliwaka sana na bado alikuwa ni mchezaji mzuri sana​
  • Farid Musa
    🙌
    Baller anayecheza namba nyingi pale Yanga , Beki wa kushoto , Winger wa kushoto , Middle aliwahi kuwapatia points 3 mhimu Yanga dhidi ya Tp Mazembe ugenini​
  • Moloko , Moja ya winger nzuri kabisa na hatari sana , aliwahi kuwafungia goal la pili Yanga kwenye mchezo dhidi ya Real Bamako kwa mkapa​
  • Kibwana Shomary , Si kulia si kushoto kote kote mdogo wangu anakaba na anashambulia ni kweli kazini kwake kuna kazi ila naye ni mzuri matches dhidi ya Dodoma Jiji , matches dhidi ya Al Merrikh ushashinda tayari na umefuzu naye anastahili kucheza​
  • Ukiifuatilia Yanga , ilikuwa ni team ambayo kila mchezaji alikuwa ni hatari kulingana na Sub aliyokuwa anafanyiwa , lakini Yanga ya sasa et hawapati nafasi kinachoendelea ni niniii ? team ya taifa itarudi kule kule tulipo toka hakuna wachezaji wapya watakao itwa maana kibwana sasa hawezi kuitwa maana sub kila match​
  • Coach wa Yanga ajitathmini na pengine anaweza asifike X-mas au hata mwaka mpya , mwenendo wa Kikosi cha Yanga sasa unafanya Pacome aje achoke sana ,​
  • Japo ni coach wenu siwapangii majukumu ila huyu coach atatuulia vipaji vya hawa madogo ni vyema akasepa mapema , utaniambia nini nikuelewe kwamba Farid Musa hana kiwango cha kumpokea Max dakika za jioni ?​
  • Tatizo hili COACH CHOYOOO SANA , Yanga ya msimu huu inaweza kuwa ndiyo Yanga nzuri kuishuhudia lakini inakwenda kuharibika.​
Nilandika humu juzi tu nikatukanwa
 
Inaoneka ni muoga au hana tactics anategemea uwezo wa wachezaji. Nabi alikuwa brilliant sana nlishuhudia mechi nyingi mchezaji anatoka benchi anaenda na kufunga.
 
Back
Top Bottom