Yanga inatakiwa iache kushiriki kwa kukariri

Afadhali kama watu hawa wenye access ya moja kwa moja kuingia kwenye vikao vya team wameanza kujitambua basi soon mabadikiko yanakuja yote hii ni kutokana na mabandiko tuliyoyaweka humu.

Wapenzi na mashabiki wa kweli wenye mapenzi mema na yanga Chonde chonde pazeni sauti mtachekwa sana na simba mtajificha wapi jamn kama sinba atakuja kudominate soka la bongo?

Team ambayo hata haina uhakika wa ushindi ikikutana na simba ndio kabisa inakua ya baridi sana kuna nini tena hapo.
 
Wanaoogopa kupoteza ni wale akina fulani ambao maisha yao yanategemea timu kuendelea kuishi mjini. Na hawa huwa hawachangii zaidi ya kuwa mstari wa mbele kuhamasisha ili wazizungukie mlango wa nyuma wakaziibe. Sisi tunaochanga Wala hatuna Cha kupoteza
👍!Ukweli mchungu huu👊👊
 
Upuuzi mtupu huu, simba mna kitu gani cha ajabu zaidi ya kutegemea pesa za Mo... Mo nae ni binadamu (siombei) lakini mtoa uzi umewahi kujiuliza mfano Mo akifariki sasa hivi timu ya simba hali yake itakuaje yani kitu ulichokifanya hapa ni sawa na kwenda na v8 ya baba yako kumchimba mkwara kijana mwenye ist yake binafsi

Narudia tena upuuuzi mtupu na wote waliokuunga mkono ni fans wa mkia fc
 
Ally anaonekana kuwa na point moja muhimu. Hakuna ujinga unaozidi ule wa kila siku Mikia wakifanya jambo Yanga nao wanajaribu kuonyesha kuwaliwahi kufanya enzi zile. Mbumbumbu akijaza uwanja Yanga wanalilia haki ya wao kujaza uwanja enzi za Manji, what for? Mbumbumbu wakifurahia kupanda ndege Yanga nao wanadai walizipanda mpaka wakachoka!!

Sehemu moja muhimu nitakayompinga Ally ni kwenye kuteka soko. Ukiangalia kwa makini soka la Tanzania linavuma na upepo. Kilichopo Simba kwa sasa ni kile kile kilichopata kuwapo isipokuwa kimeboreshwa kiasi. Wakati Simba inakwenda kwa ya mtu mmoja, siku akisusa kama ilivyotaka kutokea mpaka waziri na rais wakaingilia, mfumo mzima wa club utaanguka. Kwa maoni yangu si vema timu ikaendeshwa kwa kivuli cha wanasiasa ambao hubadilika mara kwa mara. Ingawa hoja ya Mwakyembe kuhusu kuwa na wawekezaji zaidi ya wawili ilipingwa sana, lakini faida yake itaonekana siku Mo akijikuta hana nguvu tena ya kuendeleza ufadhili wake. Kwa sasa Simba wanafurahia mafanikio ya muda mfupi kulingana na upepo wa kisiasa uliopo, ndio maana mpaka mashabiki wake wanatamba kuwa Simba ni serikali. Sasa kumbukeni yaliyopo yamekwisha kuwapo.

Kwa upande wa Yanga, mfumo uliopendekezwa na Rostam nadhani ndio sahihi kwa nature ya vilabu hivi. Tukubali tukatae, Mikia na Wananchi ni timu zenye mtazamo wa kisiasa zaidi kuliko michezo. Mkono wa siasa una nguvu mno kuliko uhalisia wa michezo, kiasi kwamba wanasiasa wamejinasibu wazi kuwa hawawezi kuziacha timu hizo. Sasa mwenendo huu ni adui mkubwa wa mafanikio ya muda mrefu kwenye michezo. Timu ya Yanga ijikite kuhamasisha wanachama, waanzishe kanzi data kama timu, wapate mapato kutokana na wanachama hao. Mfuno huu utafaa sana kwa muda mrefu, kama timu itaacha kusaka mafanikio ya muda mfupi ili kushindana na Simba.

Habari ya kuteka soko kwa soka la bongo ni upepo tu, siasa ndizo zitaamua.
Ndio maana kila siku ninasema mashabiki wa yanga Hanna akili,kwa sasa mo sio mfadhiri wa simba bali ni muwekezaji.
Akiona ameshwindwa kuendesha klabu anauza hisa zake kwa mtu mwingine anayeweza.
 
Kwahiyo mo akifariki viwanda vyake vyote vitafungwa?
 
Uwezo wa kufikiri wa baadhi ya migongo wazi unahuzunisha. Ni utoto mtupu.Wanaopinga ni wanachama wa Task Force makomandoo na wapambe wao ambao wanapata riziki zao kwenye mfumo huu wa kizamani. Ali Mayai amefukua makaburi lazima aonekane mamluki.Task Force wameandika barua ya kujitoa "kulinda" timu kwani hawapewi ushirikiano.
 
Ally anaonekana kuwa na point moja muhimu. Hakuna ujinga unaozidi ule wa kila siku Mikia wakifanya jambo Yanga nao wanajaribu kuonyesha kuwaliwahi kufanya enzi zile. Mbumbumbu akijaza uwanja Yanga wanalilia haki ya wao kujaza uwanja enzi za Manji, what for? Mbumbumbu wakifurahia kupanda ndege Yanga nao wanadai walizipanda mpaka wakachoka!!

Sehemu moja muhimu nitakayompinga Ally ni kwenye kuteka soko. Ukiangalia kwa makini soka la Tanzania linavuma na upepo. Kilichopo Simba kwa sasa ni kile kile kilichopata kuwapo isipokuwa kimeboreshwa kiasi. Wakati Simba inakwenda kwa ya mtu mmoja, siku akisusa kama ilivyotaka kutokea mpaka waziri na rais wakaingilia, mfumo mzima wa club utaanguka. Kwa maoni yangu si vema timu ikaendeshwa kwa kivuli cha wanasiasa ambao hubadilika mara kwa mara. Ingawa hoja ya Mwakyembe kuhusu kuwa na wawekezaji zaidi ya wawili ilipingwa sana, lakini faida yake itaonekana siku Mo akijikuta hana nguvu tena ya kuendeleza ufadhili wake. Kwa sasa Simba wanafurahia mafanikio ya muda mfupi kulingana na upepo wa kisiasa uliopo, ndio maana mpaka mashabiki wake wanatamba kuwa Simba ni serikali. Sasa kumbukeni yaliyopo yamekwisha kuwapo.

Kwa upande wa Yanga, mfumo uliopendekezwa na Rostam nadhani ndio sahihi kwa nature ya vilabu hivi. Tukubali tukatae, Mikia na Wananchi ni timu zenye mtazamo wa kisiasa zaidi kuliko michezo. Mkono wa siasa una nguvu mno kuliko uhalisia wa michezo, kiasi kwamba wanasiasa wamejinasibu wazi kuwa hawawezi kuziacha timu hizo. Sasa mwenendo huu ni adui mkubwa wa mafanikio ya muda mrefu kwenye michezo. Timu ya Yanga ijikite kuhamasisha wanachama, waanzishe kanzi data kama timu, wapate mapato kutokana na wanachama hao. Mfuno huu utafaa sana kwa muda mrefu, kama timu itaacha kusaka mafanikio ya muda mfupi ili kushindana na Simba.

Habari ya kuteka soko kwa soka la bongo ni upepo tu, siasa ndizo zitaamua.
Mkuu inawezekana hujaelewa bado kama MO ni mmiliki ama muwekezaji. Hapa ukielewa utagundua tofauti ya Mo na alivyokuwa Manji.

MO siku akachoka anauza hisa zake kwa watakaokuwa Tayari kumiliki.
 
Kwahiyo mo akifariki viwanda vyake vyote vitafungwa?
Issue ya simba na Mo ni individual na anafanya kwa mapenzi yake binafsi yeye mwenyewe kasema hivo mara kadhaa so suala la viwanda hata visipofungwa lazima kuna changes zitatokea hata kama mtasaidiwa haiwezi kua sawa na kama Mo mwenyewe anavofanya
 
Mo kwa sasa hayupo simba kama mfahdili bali yupo kama muwekezaji akishindwa kuiendesha kirabu anauza hisa zake kwa anaye weza.
 
Mkuu inawezekana hujaelewa bado kama MO ni mmiliki ama muwekezaji. Hapa ukielewa utagundua tofauti ya Mo na alivyokuwa Manji.

MO siku akachoka anauza hisa zake kwa watakaokuwa Tayari kumiliki.
Wao wanadhani mo ni mfadhiri wakati mo ni muwekezaji.
 
Mkuu inawezekana hujaelewa bado kama MO ni mmiliki ama muwekezaji. Hapa ukielewa utagundua tofauti ya Mo na alivyokuwa Manji.

MO siku akachoka anauza hisa zake kwa watakaokuwa Tayari kumiliki.
Tofauti ya Manji na Mo ni tofauti ya muda na support ya serikali sasa hivi au niseme elimu kwa lugha nyingine, unadhani kwanini Mwakyembe aliposema.muwekezaji asimiliki 50% za hisa watu wa walianza kusema kua anataka kuwaharibia timu yao
Vyovyote mtakavyomuita Mo , muwekezaji au mfadhili ila haipingishi kua kitu anachokifanya ni zaidi ya uwekezaji/ufadhili kifupi ni mapenzi binafsi jambo ambalo kama siku likikoma kwa sababu yoyote ile (auze hizo hisa, afariki, au abadilishe mawazo) piga ua ni lazima simba ita shake tu hivyo mtoa uzi anapokuja na maneno yake ya kipuuzi kuwashambulia yanga namuona kama kituko maana kitachowatokea simba hakitakua na tofauti na kilichoikuta yanga wakati ule wa manji (japo mnasema kuna tofuati kati yake na Mo)
 
Upuuzi mtupu huu, simba mna kitu gani cha ajabu zaidi ya kutegemea pesa za Mo... Mo nae ni binadamu (siombei) lakini mtoa uzi umewahi kujiuliza mfano Mo akifariki sasa hivi timu ya simba hali yake itakuaje yani kitu ulichokifanya hapa ni sawa na kwenda na v8 ya baba yako kumchimba mkwara kijana mwenye ist yake binafsi

Narudia tena upuuuzi mtupu na wote waliokuunga mkono ni fans wa mkia fc
Kwani mmiliki wa club ya Reicester city alivyofaliki team imeyumba? Mbona wabongo tunamawazo mgando namna hii
 
Ndio maana kila siku ninasema mashabiki wa yanga Hanna akili,kwa sasa mo sio mfadhiri wa simba bali ni muwekezaji.
Akiona ameshwindwa kuendesha klabu anauza hisa zake kwa mtu mwingine anayeweza.
Hakuna uwekezaji hapo, ni ufadhili uliopewa jina la mwekezaji, wajinga mbumbumbu hawawezi kuliona hilo
 
Kwahiyo mo akifariki viwanda vyake vyote vitafungwa?
Viwanda havifadhili, ndio maana kila kitu anafanya yeye. Usajili chumbani, mishahara chumbani, timu kusafiri chumbani, ujenzi wa uwanja mpaka atoe tamko toka chumbani kwake. Kama kweli angekuwa mwekezaji pesa ingekuwepo kwenye akaunti na klabu ingepanga matumizi, sio kuendeshwa na utashi wake.
 
Back
Top Bottom