Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Sikuku_quote wewe coz haujui maana ya utani hii anatakiwa ajibu LibennaHayo maneno ya mropokaji manara wa mambumbumbu fc. Umewahi sikia timu yenye mfumo mzuri ina mzee wa mipasho mwimba taarabu? Tulikuwa huko tukatoka ujingani. Msemaji wa klabu ni kocha. Endeleeni na mipasho