Yanga inatakiwa iache kushiriki kwa kukariri

Yanga inatakiwa iache kushiriki kwa kukariri

Hayo maneno ya mropokaji manara wa mambumbumbu fc. Umewahi sikia timu yenye mfumo mzuri ina mzee wa mipasho mwimba taarabu? Tulikuwa huko tukatoka ujingani. Msemaji wa klabu ni kocha. Endeleeni na mipasho
Sikuku_quote wewe coz haujui maana ya utani hii anatakiwa ajibu Libenna
 
Basi endeleeni na mjadala wa watu wawili kwenye forum ya wengi. Ila ningeshauri muingie PM kuliko kuweka hapa ambapo wote tunasoma.
Wewe hujui utani unavuka mipaka nadhani wengi tu wanakukwepa maana unapanic fastaa
 
Ukweli mtupu lakini wale wajinga waliobadilishiwa mpaka jina ili na wao waonekane wana share kwenye timu kwa kuitwa wananchi wakati hawajawahi kununuliwa hata andazi na timu wataupinga ukweli huu... eti tukimpa mwekezaji timu tutaikosa mijinga kabisa na ndo mana manji kawakimbia. Timu inaendeshwa kizamani kabisa. Mimi ni simba wa kutupwa lakini sipendi kuona watani wanapitia magumu kwani kwa sasa upinzani umekwisha, na ndio sababu tukikutana nao ushindi wao droo
ligi iliyopita mlibaki roho juu mpaka mlipoanza kununua mechi za mwisho za yanga na zenu halafu unasema yanga haina ushindani
 
ligi iliyopita mlibaki roho juu mpaka mlipoanza kununua mechi za mwisho za yanga na zenu halafu unasema yanga haina ushindani
Tumenunua mpaka mechi ya jana na polisi na tumenunua mpaka mechi zote mlizofungwa kwenye ligi..... malalamiko fc
 
Hahaha we jamaa vipi hii ndio mada ya uzi huu kuwa Simba ni bora kuliko mbute imezidi kila kitu, mashabiki, hamasa, viwango bora vya ndani ya uwanja na nje ya uwanja.
.
Tumewazidi hadi kuwa na msemaji mwenye ushawishi na bora zaidi na huu uzi haya maneno ni ya Ally mayai tembele mchezaji wa zamani na mwanachama wa yanga ww una hata kadi?
Sawa mkuu, time will tell mpira upo uwanjani hizo zote mbwembwe.. Ila upande wa msemaji kila kitu kikizidi kinakua kibovu, upande wa uhamasishaji bi hadija minara yupo vizuri tatizo taarabu zake zimekua too much mpaka anaenda out of his professional,
 
We won 4-2 hizi ni salamu huko chura churani 🔥🔥
 
ligi iliyopita mlibaki roho juu mpaka mlipoanza kununua mechi za mwisho za yanga na zenu halafu unasema yanga haina ushindani
Kwamba Simba waliihonga Yanga ifungwe? Hivi kuna kosa gani kama akitokea mwanachama wa Simba akatoa ahadi hadharani kwa Lipuli kwamba Lipuli wakiifunga Yanga, atawazawadia laki laki kila mchezaji? Nataka nijue kama inakatazwa, ingawa haikuwa hivyo
 
Hayo maneno ya mropokaji manara wa mambumbumbu fc. Umewahi sikia timu yenye mfumo mzuri ina mzee wa mipasho mwimba taarabu? Tulikuwa huko tukatoka ujingani. Msemaji wa klabu ni kocha. Endeleeni na mipasho
Mipasho unaiona uwanjani.??.. Kazi mnayo vyura
 
Nifunge mimi hizo goal 4 halafu njoo unitambie hapo nitakuelewa na nitakua mpole kama njiwa.. Mbali na hapo mkuu ni sawa na kuupiga konzi mdoli.
Hahahaha msimu unaanza wewe nakugonga tano bila zile alizoondoka nazo King Patrick Mutesa Mafisango.
.
Huna kikosi cha kushindana nami mtani
 
Back
Top Bottom