Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Simba yenyewe inashindwa kusajili wachezaji wake afu iwe inaisaidia Yanga kusajili wachezaji wazuri?Sijajua tatizo lao huwa nini. Lakini Yanga inategemea Simba itafute wachezaji halafu yenyewe ianze kuwavizia.
Wema wa Simba unaiimarisha timu ya Yanga!
Akikujibu ni Tag mkuuSimba yenyewe inashindwa kusajili wachezaji wake afu iwe inaisaidia Yanga kusajili wachezaji wazuri?
Facts kabisaMimi ninachojua Yanga wanasajili wachezaji wenye Quality kubwa zaidi kwa hii miaka mitano sasa.
Yani wachezaji a Yanga ni Bora na Class ya juu sana wengi ni Class II na III
Wakati simba ina wachezaji wengi daraja la 3 nne.
Mfano kwenye eneo la no 10 yanga wana.
Azizi ki.
Chama.
Pakome.
Max
Mudadhiri.
Je simba wana nani????????
Aibu kabisa
unamjua mutale wewe!!!Mimi ninachojua Yanga wanasajili wachezaji wenye Quality kubwa zaidi kwa hii miaka mitano sasa.
Yani wachezaji a Yanga ni Bora na Class ya juu sana wengi ni Class II na III
Wakati simba ina wachezaji wengi daraja la 3 nne.
Mfano kwenye eneo la no 10 yanga wana.
Azizi ki.
Chama.
Pakome.
Max
Mudadhiri.
Je simba wana nani????????
Aibu kabisa