feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Hata kusalimia sisalimii kifua kimenibana kwa uchungu ,hivi hawa Utopolo wanapata wapi wachezaji jamani haiwezekani kila mchezaji wakichukua anakua moto yaani hawakosei na kama wakikosea basi kidogo sana.
Mfano nimzungumzie namba 3 yao ,yule Boka dah lile jamaa refu,lina control,spidi na lina maamuzi sahihi na linafanya pressing muda wote.
Yanga hii ya sasa ubora walionao hata Simba ile bora ya miaka 4 haijafikia hata nusu ya ubora huu,ndo maana hatukuwahi kuwanyanyasa bado walitufunga pia. Naweza sema sasa ubora wao wako sawa na Al ahly na nina uhakika kwa sasa Yanga ndo timu ambayo magiant wa afrika wote wanaiohofia kukutana nayo kwa sasa. Spirit ya ushindi ya ushindi walio nayo ni hatari sana kwa afya ya ligi yetu itageuka ligi ya kipuuzi sasa.
Soma Pia: Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe
Angalia MVP wao waliomchukua msimu juzi kiwango chake halafu fananisha na MVP wetu tuliomchukua sisi msimu jana dah yaani yaaani.
Hongera mtani mmejua kutonyoosha🙌🙌
Moyo unaniuma sana😡 ,#UBAYA UBWELA