Yanga inawafukuzia Philip Kinzumbi na Ellie Mpanzu, imeshaweka offa mezani

Yanga inawafukuzia Philip Kinzumbi na Ellie Mpanzu, imeshaweka offa mezani

Mangungu na jaribu tena wanamtaka nani? Au wanasubri mvua ya magoli Hamed Ally aseme wachezaji wao wamehongwa??
Nikizipata za Simba nitakujuza mkuu ila mpaka sasa wanakomaa kumbakisha Kibu na Chama japo Chama safari hii anaweza enda Yanga seriously hataki heshima anataka hela
 
Mpaka sasa Elie Mpanzu Kibisawala (striker) ana asilimia nyingi za kutua Yanga.

Philip Kinzumbi (winga) ameshawekewa ofa ila Raja nao wameweka ofa mezani.

Mpaka sasa kila kitu kipo kwenye mazungumzo bado hakuna aliyesaini.
Wanatoka wangapi wanaingia wangapi ?
 
Back
Top Bottom