Yanga inawafukuzia Philip Kinzumbi na Ellie Mpanzu, imeshaweka offa mezani

Yanga inawafukuzia Philip Kinzumbi na Ellie Mpanzu, imeshaweka offa mezani

Nikizipata za Simba nitakujuza mkuu ila mpaka sasa wanakomaa kumbakisha Kibu na Chama japo Chama safari hii anaweza enda Yanga seriously hataki heshima anataka hela
Hivi mkuu unaamini kabisa Chama anaweza kwenda kucheza mpira Yanga? Mfano pale Yanga anachukua namba ya nani?
 
huyo Kinzumbi ni ntu haswa.

Hersi akimbeba huyu kiumbe ntaona sasa Yanga wanataka kuharibu soka letu la Tanzania kwa kusajili wenye utimamu,wakati tushazoea kusajili mataahira kama kina Morisone na Sawadogo.
 
Back
Top Bottom