sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Nikizipata za Simba nitakujuza mkuu ila mpaka sasa wanakomaa kumbakisha Kibu na Chama japo Chama safari hii anaweza enda Yanga seriously hataki heshima anataka helaMangungu na jaribu tena wanamtaka nani? Au wanasubri mvua ya magoli Hamed Ally aseme wachezaji wao wamehongwa??
Chama yanga wanamtaka wa nini hana Shughuli huyoNikizipata za Simba nitakujuza mkuu ila mpaka sasa wanakomaa kumbakisha Kibu na Chama japo Chama safari hii anaweza enda Yanga seriously hataki heshima anataka hela
Anahitaji sipana ,he needs some retoolingChama yanga wanamtaka wa nini hana Shughuli huyo
Skudu,lomalisa,fredWakutoka :
Lomalisa
Skudu
........
Wanaotajwa kuingia :
Chadrack Boka
Dube
Zouzou
......
Tetesi zitakua nyingi sana , mie nitasubiri taarifa rasmi
Kama vipi chama ngoja aende tu yangaNikizipata za Simba nitakujuza mkuu ila mpaka sasa wanakomaa kumbakisha Kibu na Chama japo Chama safari hii anaweza enda Yanga seriously hataki heshima anataka hela
Dube,Boka,Agee bisalaSkudu,lomalisa,fred
Wanatoka wangapi wanaingia wangapi ?Mpaka sasa Elie Mpanzu Kibisawala (striker) ana asilimia nyingi za kutua Yanga.
Philip Kinzumbi (winga) ameshawekewa ofa ila Raja nao wameweka ofa mezani.
Mpaka sasa kila kitu kipo kwenye mazungumzo bado hakuna aliyesaini.
Fred anacheza backline yote na height nzuri.Skudu,lomalisa,fred
Ana shida za timing,uzito flanFred anacheza backline yote na height nzuri.
Fred na kibwana shomari yupo Afadhali ?Ana shida za timing,uzito flan
Beki wa pembeni ukiwa mfupi ndo unanoga sasa km hujui,sema tu kibwana ana tatizo la kupiga cross za mwishoFred na kibwana shomari yupo Afadhali ?
Kwa ufupi wa kibwana hafai kabisa kuwa beki labda midfielder
Beiki wa pembeni hatakiwi kuwa na umbo kubwa,atakua slowFred na kibwana shomari yupo Afadhali ?
Kwa ufupi wa kibwana hafai kabisa kuwa beki labda midfielder
Siyo lazima awe slow, wengine wepesi.Beiki wa pembeni hatakiwi kuwa na umbo kubwa,atakua slow
Kama nani?.. Ashley Cole,evra, Marcelo nk unaona maumbi yao,Sasa njoo kwa fullback ndefu ya arsenal na ya man,tazama wanavyopata tabuSiyo lazima awe slow, wengine wepesi.