Nikizipata za Simba nitakujuza mkuu ila mpaka sasa wanakomaa kumbakisha Kibu na Chama japo Chama safari hii anaweza enda Yanga seriously hataki heshima anataka hela
Hersi akimbeba huyu kiumbe ntaona sasa Yanga wanataka kuharibu soka letu la Tanzania kwa kusajili wenye utimamu,wakati tushazoea kusajili mataahira kama kina Morisone na Sawadogo.