Yanga inayodhamini na GSM inakutana na Pamba inayodhaminiwa na GSM

Yanga inayodhamini na GSM inakutana na Pamba inayodhaminiwa na GSM

Pamba fc lazima afe tena 4many goals! young africans sc ni next level,i think inashiriki league hii kwa vile ni league ya nyumbani wajameni! ndugu zangu wananchi (wanayanga) haijalishi team inadhaminiwa na GSM,M BET Sijui MO,AZAM, 10BET kipigo hakiepukiki kama unabisha leta takwimu kama timu lako halikutandikwa kisawasawa na YOUNG AFRICANS SC! ukileta takwimu basi nipo tayari kupigwa ban ya maisha.
 
.......Ni kama tu Simba inapocheza na Azam Fc ya Mzee Bakhresa (Mwanachama na mweka hazina wa zamani).

Halafu inakuwaje Ligi yetu inadhaminiwa na Kampuni ya Mzee Bakhresa kupitia Azam Media, huku ikiwa na timu pia ya Azam Fc kwenye Ligi yetu!!
 
Tofauto uwanachama na udhamini...kunatofauti kubwa sana...biashara na ushabiki wap na wap..mbona GSM ni mwanachama wa Simba ila anahujumu Simba?
 
Tofauto uwanachama na udhamini...kunatofauti kubwa sana...biashara na ushabiki wap na wap..mbona GSM ni mwanachama wa Simba ila anahujumu Simba?
Kwani huyo GSM si anadhamini timu chache tu kwenye hiyo ligi! Kwa nini sasa tusimshauri tajiri yetu namba moja nchini na yeye kudhamini timu zilizobaki, ili tujihakikishie ubingwa wa msimu huu?

Au aliyeruhusiwa kudhamini timu zaidi ya moja kwenye ligi kuu ni GSM peke yake? Majibu tafadhali.
 
Back
Top Bottom