Yanga inayodhamini na GSM inakutana na Pamba inayodhaminiwa na GSM

Yanga inayodhamini na GSM inakutana na Pamba inayodhaminiwa na GSM

Kwani huyo GSM si anadhamini timu chache tu kwenye hiyo ligi! Kwa nini sasa tusimshauri tajiri yetu namba moja nchini na yeye kudhamini timu zilizobaki, ili tujihakikishie ubingwa wa msimu huu?

Au aliyeruhusiwa kudhamini timu zaidi ya moja kwenye ligi kuu ni GSM peke yake? Majibu tafadhali.
Tajiri wetu yupo smart kichwani hawezi kufanya huo upuuzi kwasababu ataharibu ligi yetu
 
Hapo vip!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Ili watoto wa kitanganyika wawe na akili na kujitambua, MODERETORS natamani chochote cha kuhusu simba na yanga kipungue humu. Mijitu mipumbavu hata chakula haina lakini akili yao kila siku simba yanga. Ndo na Kizimkazi walipowajua wakaona ili wawaibie vzr, toa hela kwenye magoli waendelee kushangilia.. Upumbavu ni tatizo sana duniani.
 
Pamba fc lazima afe tena 4many goals! young africans sc ni next level,i think inashiriki league hii kwa vile ni league ya nyumbani wajameni! ndugu zangu wananchi (wanayanga) haijalishi team inadhaminiwa na GSM,M BET Sijui MO,AZAM, 10BET kipigo hakiepukiki kama unabisha leta takwimu kama timu lako halikutandikwa kisawasawa na YOUNG AFRICANS SC! ukileta takwimu basi nipo tayari kupigwa ban ya maisha.
mwaka 2012 simba 5 yanga 0.
 
.......Ni kama tu Simba inapocheza na Azam Fc ya Mzee Bakhresa (Mwanachama na mweka hazina wa zamani).

Halafu inakuwaje Ligi yetu inadhaminiwa na Kampuni ya Mzee Bakhresa kupitia Azam Media, huku ikiwa na timu pia ya Azam Fc kwenye Ligi yetu!!
mbona gsm ni mwanachama wa simba na anaikazia simba?
 
Ila mwaka huu ubaya ubwela ndomana washaanza kulalamika yani hadi Sasa yanga kashapoteza Tajiri la NBC bdo mda tuu kuamua
 
.......Ni kama tu Simba inapocheza na Azam Fc ya Mzee Bakhresa (Mwanachama na mweka hazina wa zamani).

Halafu inakuwaje Ligi yetu inadhaminiwa na Kampuni ya Mzee Bakhresa kupitia Azam Media, huku ikiwa na timu pia ya Azam Fc kwenye Ligi yetu!!
Tate mkuu [emoji120]
 
Back
Top Bottom