Yanga inayodhamini na GSM inakutana na Pamba inayodhaminiwa na GSM

Tajiri wetu yupo smart kichwani hawezi kufanya huo upuuzi kwasababu ataharibu ligi yetu
 
mwaka 2012 simba 5 yanga 0.
 
.......Ni kama tu Simba inapocheza na Azam Fc ya Mzee Bakhresa (Mwanachama na mweka hazina wa zamani).

Halafu inakuwaje Ligi yetu inadhaminiwa na Kampuni ya Mzee Bakhresa kupitia Azam Media, huku ikiwa na timu pia ya Azam Fc kwenye Ligi yetu!!
mbona gsm ni mwanachama wa simba na anaikazia simba?
 
Ila mwaka huu ubaya ubwela ndomana washaanza kulalamika yani hadi Sasa yanga kashapoteza Tajiri la NBC bdo mda tuu kuamua
 
.......Ni kama tu Simba inapocheza na Azam Fc ya Mzee Bakhresa (Mwanachama na mweka hazina wa zamani).

Halafu inakuwaje Ligi yetu inadhaminiwa na Kampuni ya Mzee Bakhresa kupitia Azam Media, huku ikiwa na timu pia ya Azam Fc kwenye Ligi yetu!!
Tate mkuu [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…