Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Sep 22, 2024 #1 Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 4,748 Reaction score 7,061 Sep 22, 2024 #2 Pdidy said: Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici Click to expand... Ingewashinda, kwani WAUMINI gani wasiotaka kutoa sadaka (kuingia kwa kiingilio uwanjani) , wapendao kulishwa( supu ya bure)
Pdidy said: Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici Click to expand... Ingewashinda, kwani WAUMINI gani wasiotaka kutoa sadaka (kuingia kwa kiingilio uwanjani) , wapendao kulishwa( supu ya bure)